Call waiting

Call waiting

Sioni tatizo lolote hapo mkuu,fwata maagizo ya simu.Mda wako utafika tu akimaliza mawasiliano na hao wengine,kuwa mpole.
 
Mie uwa namuuliza ulikuwa unaongea na nani? Akiniambia mama au baba au dada,kinochofuata ni kumpigia mchizi wangu wa kampuni ya cm namwambia ebu niangalizie namba ilikuwa inaongea na nani,then akinitajia naangalia kweli hyo namba aliyosema anaongea nayo ni ya mama/baba/dada? Kama ndio napiga kimya kama sio naangalia imesajiriwa kwa jina gani kama m/me namie natafuta wa pembeni tunaenda ngoma droo kama mbwai mwbai akimwaga ugali nami namwaga mboga amani kwa kaka voda.
 
Hyo nakataa kabsaa mie nlishawah mfanyia mtu hvo huaga namba ina divertiwa kwenye waiting calls tu!wala anakua haongei na mtu au watu mda huo wote!
Hapa naona wataka kuzusha fujo,ungemtuliza tu huyu kaka pressure isipande jamani.
 
Ni vizuri kuwa positive,lakini hapo unaibiwa huna chako ,jiandae kwa maumivu,speaking from experience!
 
mkuu inakera wakati mwingine...haiwezekani mtu muda mwingi ukimpigia umkute busy...ila kama ni wewe na unakereka mweleze
 
Hiyo hali haivumiliki? Nilishawahi toa kibuti na chanzo cha mgogoro kilikuwa hicho!
 
Back
Top Bottom