calendar master
Member
- Aug 20, 2026
- 34
- 46
Utofauti wa characters ndo unatupa aina tofauti za watu.How someone is assigned as left, right, or mini?
Calendar haina ubashiri Bali ni code ya uhalisia wako, pia haina masharti Bali inakupa wasaa was kujitambua wewe ni nani naturally kutokana na calendar yako ya kuzaliwaHayo mambo ya Calendar, mbona hayana tofauti na uganga wa nyota tu
Au utofauti wake ni upi hasa?
Nilidhani vinaingiliana na mambo ya nyotaCalendar haina ubashiri Bali ni code ya uhalisia wako, pia haina masharti Bali inakupa wasaa was kujitambua wewe ni nani naturally kutokana na calendar yako ya kuzaliwa
Kuna mada inaitwa ijue calendar yako ifuatilie ujifunze inavyork kisha uangalie calendar yako na wanafamiliaNilidhani vinaingiliana na mambo ya nyota
Kama una nafasi jaribu kufafanua zaidi kwa kuandika tarehe za mwezi mzima kwa Kila mwezi husika, ili somo lieleweke
Wala si uongo, calendar inakupa reality kuanzia Tabia zako, vipawa vyako na destination yako, hivo ni jambo la kijifunza tu kuitumiaUongo mtupu..
Kuna kipindi niliaminishwa kuna Twin flames au soul mates..
Aisee niliteseka sana na limtu ambalo hata halikuwa tuna vitu common
Shukrani Mkuu, ngoja nifatilieKuna mada inaitwa ijue calendar yako ifuatilie ujifunze inavyork kisha uangalie calendar yako na wanafamilia
Shirk ni nin?Shirk
Maswala yako ya calendar ni unajimu ambayo ni ushirikina kwa Imani yangu, wewe dini gani?Shirk ni nin?
Unachanganya mambo mkuu, calendar no knowledge ya kuujua uhalisia wako.Maswala yako ya calendar ni unajimu ambayo ni ushirikina kwa Imani yangu, wewe dini gani?
Sasa ni tarehe,Mwezi,mwaka,matumizi ya mikono(kushoto na Kulia)?!Calendar haina ubashiri Bali ni code ya uhalisia wako, pia haina masharti Bali inakupa wasaa was kujitambua wewe ni nani naturally kutokana na calendar yako ya kuzaliwa
Kalender ya kulia na kushoto no terminology ya kuzitofautisha aina za calendar wala haina maana nyingine mkuuSasa ni tarehe,Mwezi,mwaka,matumizi ya mikono(kushoto na Kulia)?!