Calculator nyingi ni za uongo hebu angalia hii hesabu

labda kasoma kizungu, BODMAS.
 
Hiyo calculator ipo sahihi, we ndo hujui..
 

Shuleni ulienda kusomea ujinga? Umejianika jinsi ulivyo mweupe kichwani.
 
Calculator haikosei wewe ndiye haujajuwa settings zake. Mara nyingi huwa zinaweka Kumbukumbu na kama usipofuta hiyo Kumbukumbu kila ukifanya operation italeta jibu tofauti na la kwanza. Hii ni kwa sababu inachukua thamani za namba zilizo kwenye Kumbukumbu na kuziongeza kwenye mahesabu yako. Hivyo wewe ndiye hujui namna ya kuitumia hiyo calculator ya simu. Pole!!!!
 
we jamaa hujui hesabu, usiisingizie calculator
 
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…