Cakes for devorce..

Maana yake baada ya kusign divorce mnasherehekea? ikiwa hivyo nina daught hata kwenye msiba kutakuwa na kukata keki watu wataanza kusema haya mama na baba wa marehemu wapite mbele kulishwa keki.
Najiuliza keki ni tamu na ukilishwa au ukila unasikia utamu unatabasamu sasa pale unakuwa na mtu mliyegombana na mnaachana mkianza kulishana keki ya utamu ili kuachana si mtalishana denda tena aaaah mambo ya wazungu haya kichwa kinauma!!
 
wanafiki tu hao mavi kabisa

hahahaa Nivea bana

kama ile ya free at last.......,
maana mtu akikwambia free at last ni kuwa ulikuwa unamboa
to hell afu ulikuwa kinganganizi......
 
Last edited by a moderator:
mambo yakianza kuwa magumu unafanya booking ya keki....good!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…