johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,134
Duuuuuu sa itakuwaje ndugu wajumbe gharama zote zilizotumika. Itakuwa ushauri ulitolewa ukakataliwa
Kwani stendi imejengwa ndani ya hifadhi ya barabara? Tunafahumu mbezi - kimara kulikuwa na bomoabomoa, sasa inakuwaje wenyewe wanajenga ndani ya hifadhi.Huyu CAG atakuwa katumwa na MABEBERU😲😲
Nadhani akifika kwenye ofisi anakagua mpaka usafi.Hivi CAG anakagua hesabu za serekali au kila kitu
I have the same swali..NILIDHANI YA ROAD ndo wangeongea hayaHivi CAG anakagua hesabu za serekali au kila kitu
Huyo CAG huko ni ujipendekeza ama ni nini!!??I have the same swali..NILIDHANI YA ROAD ndo wangeongea haya
Angalia jinga hili hata halijielewi lishabebwa na upepo!!??Kila kona madudu. Alafu kulikuwa na hoja ya kuongezewa muda
Kati ya shauri bora sana hiii, barikiwa sana ndugu.Mojawapo na solution ni ujenzi wa njia Mbezi shule mpaka Bunju via mabwepande ili mabus yote yaendayo kaskazini yapite hapo bila kurudi Morogoro road,
Pili njia ya Kibamba mpiji Magoe makabe njia panda ya Goba hii itakuwa Kama Mbezi bypass.
Lakini pia kutoka mloganzira kwenda kisarawe au kinyerezi hizi ziwe Kama bypass au ring road na mwisho ujunzi wa daraja mbezi
Mwenda zake mwanasayansi, injinia, chemist, IGP, gavana wa BOT, msanifu wa barabara na majengo, mkemia mkuu, daktari mkuu, spika wa bunge, jaji mkuu, kamanda wa polisi,sheikh na paroko in short mwenda zake alikua anamudu sekta zote, ona sasa matokeo yake
CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.
Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.
Ukinizingua Nitakuzingua!