CAG mstaafu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za Ripoti ya ukaguzi wa CAG

Madhara ya bunge kuwa gizani hayo, mawaziri wanakimbilia kwenye media ili kuuza nyago hata kama wanavunja taratibu.
 
Kama Mwijage alijichanganya kabisa!
Sijawahi kuona wala kusikia mawaziri wakijibu hoja za CAG toka nianze kufuatilia mambo haya miaka na miaka. Imetokea awamu hii tuu!
Kuna nini awamu hii hadi mawaziri ku-retaliate against CAG? Wanajiona wapo clean na wajuvi sana wa kuongoza wizara zao kiasi cha kutotegemea hayo yaliyotokea kwenye ripoti ya CAG? Kuna tatizo siyo bure.
 
Hawasafishiki inawezekana hawajui majukumu ya CAG
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha
Mimba ya Diva wa clouds ina miezi ngapi? You are good in chit-chat na JF cerebreties.....huku unatuchosha tu.
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha

Nadhan ujaelewa kidogo. Mawaziri watazijibu zikiwa ndan ya bunge. Siyo kwenye mikutano
 
Sijawahi kuona wala kusikia mawaziri wakijibu hoja za CAG toka nianze kufuatilia mambo haya miaka na miaka. Imetokea awamu hii tuu!
Kuna nini awamu hii hadi mawaziri ku-retaliate against CAG? Wanajiona wapo clean na wajuvi sana wa kuongoza wizara zao kiasi cha kutotegemea hayo yaliyotokea kwenye ripoti ya CAG? Kuna tatizo siyo bure.
Hahahaa...... tena unakuta waziri anamsahihisha CAG kwamba jambo fulani haliwezekani hadi mwaka 2050!
 
Tatizo la wateule wa Rais awamu hii, kila mmoja anafanya mambo kwa utashi binafsi bila ya kuzingatia sheria na kanuni kwa sababu hawajui japo wanadhani wanajua.

Ni muhimu sana wateule wa Rais kupewa semina ili wazijue kanuni katika maeneo mbalimbali ya wajibu wao.
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha

Mkuu upo uwezekano mkubwa wewe ndio unaropoka professionally na sio Uttoh kwani alichokisema ni sahihi kabisa. Ukipata muda pitia kifungu cha katiba kinachomhusu CAG.
 
Tatizo la wateule wa Rais awamu hii, kila mmoja anafanya mambo kwa utashi binafsi bila ya kuzingatia sheria na kanuni kwa sababu hawajui japo wanadhani wanajua.

Ni muhimu sana wateule wa Rais kupewa semina ili wazijue kanuni katika maeneo mbalimbali ya wajibu wao.

Mkuu wanamuiga boss kwani wewe ulitarajia jambo la tofauti?
 
Hahahaa...... tena unakuta waziri anamsahihisha CAG kwamba jambo fulani haliwezekani hadi mwaka 2050!
Hahahahaha....mambo ya aibu na ya ajabu sana. Personaly naona sijui kwanini Rais Magufuli anachelewa kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri. Mawaziri wake wengi wameshakuwa mizigo isiyobebeka.
 
Hahahaa...... tena unakuta waziri anamsahihisha CAG kwamba jambo fulani haliwezekani hadi mwaka 2050!
CAG Kasema serikali ya awamu ya 5 inalipa Madeni bila kufuata Bajeti matokeo yake Bajeti haitekelezwi ilivyopangwa kashauri kwenye bajeti kuwepo fungu la kulipa Madeni chanzo Azam Tv
 
Kulipa madeni ya halali siyo mbaya tofauti na awamu zilizopita walikuwa wanalipa madeni hewa!
 
CCM inaingiaje hapa?........haya ni mambo ya kitaaluma!
Ccm ipo hapo sana tu kwani hao mawaziri wasiojua lolote wanatoka cdm? Ccm hamshangazi hata kidogo na ndio maana mliazimia juzi kuwa muwe juu ya kika kitu kwa kuwa serikali ni yenu! Ripoti ya cag ina taratibu zake na sio kama bajeti mnayoivuruga mtakavyo!
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha
Elewa utaratibu basi!!! Waziri anatakiwa aijibie baada ya kujadiliwa bungeni na sio umusiba wenu hapa! Waziri anawashwaje na kujitia kimbelembele ili kutafuta masa sympathy tu. Wasubiri na wazingatie utaratibu.
 
Akizungumza na wajumbe wa kamati za fedha, CAG mstaafu ndugu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za ukaguzi wa CAG hadharani bali wawaache watendaji wafanyie kazi ripoti hiyo.

Uttoh amesema kama Waziri ana jambo lililomgusa anaweza kumuandikia CAG na si kuitisha vikao na waandishi wa habari, kwanza ripoti yenyewe bado haijafanyiwa kazi na bunge na kamati zake aliongeza Uttoh.

Chanzo: ITV habari!
Hii awamu ya tano ni genge la wahuni wasiojua maana ya utawala wa sheria bali kazi waliyo nayo kuu ni kuimba sifa za kumtukuza malaika mkuuu. Wakiisha maliza kazi ya kumtukuza wanajua kabisa kwamba watafanya chochote na hakuna wa kuhoji maana washampumbaza alie juu.
 
CAG kuomba msamaha ulishasikia?.Eti anakinga!!!

Back
Top Bottom