CAG mstaafu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za Ripoti ya ukaguzi wa CAG

Akizungumza na wajumbe wa kamati za fedha, CAG mstaafu ndugu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za ukaguzi wa CAG hadharani bali wawaache watendaji wafanyie kazi ripoti hiyo. Uttoh amesema kama Waziri ana jambo lililomgusa anaweza kumuandikia CAG na si kuitisha vikao na waandishi wa habari, kwanza ripoti yenyewe bado haijafanyiwa kazi na bunge na kamati zake aliongeza Uttoh. Source ITV habari!
Anawashwawashwa
 
Hiyo sheria inayokataza Mawaziri kufanya hivyo ni yakipuuzi na inatakiwa irekebishwe haraka sana. Ripoti ya CAG inatakiwa iwe wazi kwa wananchi wote na Mawazi wanafanya vizuri kuwa wazi kwa wananchi wote. Wananchi ndio mabosi wa serikali na huyo CAG, hivyo wanayo haki ya kujua kinachofanywa serikali na watumishi wao waliowapa kazi ya kuwatumikia. Ndio maana wengine twasema Rais JPM amekuja katika wakati muafaka kwa Taifa hili. Ile mentallity ya usiri ili watu wapige kwa staili hii itakufa kifo cha mende. "Usiri wa kuficha maovu"

Mawaziri wanapata ujasiri kuyasemea hayo yaliyotolewa na CAG kwa sababu serikali iliyafanya hayo kwa "Good Faith" hivyo hakuna kinachoisuta serikali.
Ha ha ha haaa ... Yaani humu Kuna watu vilaza sijawahi ona ...

Mi nafkiri JF tungekua tuna log in kwa certificate zetu otherwise utakutana napumba Kama hizi kila uchwao ...

Kuna mtu mmoja katika Uzi huu aliongelea habari ya kuchanganya CCM kwenye hii issue ... Akasema hii na taaluma CCM hausiki

Sasa huyu bwana Tikakami wa Lopelope Sasa ndio kahamaki kwenye swala la kitaaluma ...

Brother hi ni taaluma kwa hiyo Kuna baadhi ya Sheria inabidi ziundwe kufuatana na taaluma husika ambayo inataratibu zake zinazo kubalika kimataifa sawa bro!

Kabla ya kuhemukwa Kwanza ungefuatilia na kuelewa taaluma anayotumia CAG kukagua hizo hesabu zinazojibiwa kwa kuita waandishi wa habari ... Ha ha ha ha haaaa
 
Acha kujichekesha chechekesha hovyo.

Ha ha ha haaa ... Yaani humu Kuna watu vilaza sijawahi ona ...

Mi nafkiri JF tungekua tuna log in kwa certificate zetu otherwise utakutana napumba Kama hizi kila uchwao ..

Kuna mtu mmoja katika Uzi huu aliongelea habari ya kuchanganya CCM kwenye hii issue ... Akasema hii na taaluma CCM hausiki

Sasa huyu bwana Tikakami wa Lopelope Sasa ndio kahamaki kwenye swala la kitaaluma ...

Brother hi ni taaluma kwa hiyo Kuna baadhi ya Sheria inabidi ziundwe kufuatana na taaluma husika ambayo inataratibu zake zinazo kubalika kimataifa sawa bro!

Kabla ya kuhemukwa Kwanza ungefuatilia na kuelewa taaluma anayotumia CAG kukagua hizo hesabu zinazojibiwa kwa kuita waandishi wa habari ... Ha ha ha ha haaaa
 
Nchi sasa inaendeshwa kama tupo Gulioni
Ni kweli kabisa.
Yaani hakuna plani ya huko tuendako kwani mambo yanayofanyika ni mazito lakini majibu ni mepesi sana.
Ni kumwomba Mungu atuvushe ktk kipindi hiki kigumu tunachopitia
 
Acha kujichekesha chechekesha hovyo.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa ha ha ha haaaaaa ...

Bro! JF tunaandika kwa Nguvu za hoja juu ya hoja na kuelimishana pia achilia mbali kukumbushana ...

JF hatuandiki kuzuia emotions za mtu, umefeli Bro!!! Kwaheri

Nikiwa JF naweza cheka, naweza Lia, naweza kupenda nikachomoa kinga'st cha maana tu ... wapo wengi tunawajua wameanzia humu wana familia sasa

You can't stop my emotion feelings in JF let's debate Brother!!!
 
Juha hujulikana kwa matendo yake, vinginevyo ni vigumu, kama hujui hata kutofautidha kucheka cheka hovyo na kucheka, tukusaidie vipi? wewe juha:!!!

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa ha ha ha haaaaaa ...

Bro! JF tunaandika kwa Nguvu za hoja juu ya hoja na kuelimishana pia achilia mbali kukumbushana ...

JF hatuandiki kuzuia emotions za mtu, umefeli Bro!!! Kwaheri

Nikiwa JF naweza cheka, naweza Lia, naweza kupenda nikachomoa kinga'st cha maana tu ... wapo wengi tunawajua wameanzia humu wana familia sasa

You can't stop my emotion feelings in JF let's debate Brother!!!
 
**** hujulikana kwa matendo yake, vinginevyo ni vigumu, kama hujui hata kutofautidha kucheka cheka hovyo na kucheka, tukusaidie vipi? wewe ****:!!!
Mnxchwszzz ... Hovyoooo!!

Huna lolote Poyoyooo !! Huna unalolijua unaandikia kufuata mkumbo tu

Badala ya kujibu hoja unazuia hisia za mtu sa'ulikuja kufanyaje humu JF

Makoroboi wengine bana ... shida tupu

Haya kwaheri umeshinda wewe ... Damn!!
 
Hahahaa...... Kumbe ruzuku siyo kodi?!!!
Tumia akili yako angalau kidogo basi mdau. CCM ikipewa ruzuku bilioni 300, hal ikazitumia kulipana posho na kadhalika nje ya malengo ya ruzuku, athari zake kwangu siwezi kulinganisha na pale wizara ya afya ipewe bajeti ya dawa hlf badala ya kununua dawa wafanyie sherehe za mahafali ya Muhimbili.

Fedha ambazo zimekuwa allocated kwa CCM tayari ziko nje ya interest yangu, lkn zilizokuwa allocated wizarani zinaniathiri moja kwa moja.

Kama una akili angalau kidogo basi utaacha kujifanya kubwa jinga na huyo Mbowe wako unayelala ukimuota. As for now, Mimi Mbowe hanisumbui maana hajachukua kodi yangu wala hakuna dhamana niliyompa
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha
Bushoke mimi nakushauri uende MMU huku unapwaya kama chupi la bi mdogo.

CAG hakutoa report ili wabishane. Km kuna waziri anaona CAG kakosea si aropoke tu kuwa mzee baba muongo? Maelezo marefu ya nini?
 
Ni hivi Zitto hayuko accountable kutokana na report ya CAG ... Ni kama ambavyo wewe unaongelea hapa kuhusu CAG na kuhoji bcz hauwajibiki kwa report ya CAG .

Sijui umeelewa Hapo ...

Huyo Zitto angetuambia kabla ya yote kwa nini ilibidi CAG aombe msamaha baada tu ya kuitoa ile ripoti yake? Kilicho ujaza moyo wa mtu ndicho....mmalizie wenyewe.
 
Akizungumza na wajumbe wa kamati za fedha, CAG mstaafu ndugu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za ukaguzi wa CAG hadharani bali wawaache watendaji wafanyie kazi ripoti hiyo.

Uttoh amesema kama Waziri ana jambo lililomgusa anaweza kumuandikia CAG na si kuitisha vikao na waandishi wa habari, kwanza ripoti yenyewe bado haijafanyiwa kazi na bunge na kamati zake aliongeza Uttoh.

Chanzo: ITV habari!
Sawa,kabisa. Wanachotakiwa ni kushughulikia mapendekezo na maoungufu hayo
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha
zinajibiwa kwa report yenye evidence siyo maneno
 
Mimi naona uttoh ana ropoka tuu...hakuna shida yeyote mawaziri kujibu hoja za CAG na kuzitolea majibu kama walivyo fanya..... sasa kama wasipo zijibu na kufanyia kazi wakae kimya ili iweje? hakuna sehemu mawaziri wamekataa report ya CAG bali wanacho fanya ni kutoa majibu na kueleza Umma jinsi ya kuzifanyia kazi hoja za CAG na kurekebisha matatizo yaliyo ainishwa.....
Sioni tatizo... sema tatizo la nchi hii huwa ni haki kwa upande mmoja kuongea na mwingine unyamaze...hahahaha
Naona Sasa wewe unataka kujifanya una uzoefu kuliko CAG mstaafu! Mkuu, kwani huwezi kusoma na kupita tu hata kama ukweli huu unakuuma? Unakubali vipi kudhalilika kiasi hiki?

Chonde chonde, upumbavu wako angalia usije ukawarithisha watoto wako maana taifa litachelewa kuendelea
 
Akizungumza na wajumbe wa kamati za fedha, CAG mstaafu ndugu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za ukaguzi wa CAG hadharani bali wawaache watendaji wafanyie kazi ripoti hiyo.

Uttoh amesema kama Waziri ana jambo lililomgusa anaweza kumuandikia CAG na si kuitisha vikao na waandishi wa habari, kwanza ripoti yenyewe bado haijafanyiwa kazi na bunge na kamati zake aliongeza Uttoh.

Chanzo: ITV habari!

nashangaa sana ripoti aijaingia bungeni ikachambuliwa jadiliwa na kuazimiwa then wanajibu. wanajibu nini saa?
 
Back
Top Bottom