AnawashwawashwaAkizungumza na wajumbe wa kamati za fedha, CAG mstaafu ndugu Uttoh amesema si sawa mawaziri kujibu hoja za ukaguzi wa CAG hadharani bali wawaache watendaji wafanyie kazi ripoti hiyo. Uttoh amesema kama Waziri ana jambo lililomgusa anaweza kumuandikia CAG na si kuitisha vikao na waandishi wa habari, kwanza ripoti yenyewe bado haijafanyiwa kazi na bunge na kamati zake aliongeza Uttoh. Source ITV habari!