Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hizi zote ni hasira za Mwenyezi Mungu na atazidi kushusha mapigo ndani ya CCMWewe na makundi yenu ya kifisadi huko MATAGA.
Hizi zote ni hasira za Mwenyezi Mungu na atazidi kushusha mapigo ndani ya CCMWewe na makundi yenu ya kifisadi huko MATAGA.
Hilo kundi ni hatari sana.Anatishiwa na waliotaka kuficha udhaifu wa mwendazake
Hicho chama bila msajili kukifuta hii nchi italipuka tuAisee CCM wanataka kumuua.
Mafisadi wa CCM wanataka kumuua mtumishi wa Mungu.
Alukuwa anafundisha madudu tuAlipokua anafundisha kule sengerema ulikua ukimsaidia wewe
Hii ni Drama King series episode 1....mwana kulifind mwana kuliget..apambane tu na hali yake au aombe ukimbizi Canada..
Alukuwa anafundisha madudu tu
No matter what you still have a place in my heart❤️😘Mfyuuuuu ukamuwini Tundu sio mimi
Wewe rudi ukalale ukue ubongo
No matter what you still have a place in my heart❤️😘
Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu KichereHawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu hazina maana
Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy. Na haya matangazo hayana faida yoyote kwenye kuimarisha usalama wake.... zaidizaidi anawapa watu fursa ya kumjua kiundani
Kichere aache siasa na kutaka umaarufu wa kitoto.... kuna nafasi ukipewa serikalini lazima upewe ulinzi wa kutosha
Ulitaka akuletee gazeti zima, kwa hujaelewa kichwa Cha gazeti?Kuna muda mwingine usikurupuke kuleta habari haijakamilika, eti na wewe umesoma kichwa cha habari unakuja na conclusion eti katishiwa KIFO.
Tulia wewee upate busu. Chukua kitu hicho mwaaah😘😘😘😘😘😘👌🏿👌🏿Kwa moyo wako siingii hata kwa mtutu
Nani anataka kuwa mjinga😂😂😂😂😂
Huyo mwingine ambaye sio kichere kayajulia wapi hadi kuyaleta huku.Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere.
Shujaa wa Mazezeta katuachia MazezetaHayo Madudu ndio yanawatoa povu..... hadi ameingia kaburini bado mnahaha😂😂😂😂😂
View attachment 1752536
Mumwache kipenzi chetu JPM apumzike kwa amani
Shujaa ametengeneza na kutuachia mashujaa, Rais SSH anaendeleza kazi
Nje ya uCAG ana maisha yake binafsi, kuchukua pisi kali za watu, kurogana, nk....nawaza nje ya mazoea tu!
Hawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu zinaambiwa hazina maana
Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy.
Na haya matangazo hayana faida yoyote kwenye kuimarisha usalama wake.... zaidizaidi anawapa watu fursa ya kumjua kiundani
Kichere aache siasa na kutaka umaarufu wa kitoto.... kuna nafasi ukipewa serikalini lazima upewe ulinzi wa kutosha