CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Alukuwa anafundisha madudu tu

Hayo Madudu ndio yanawatoa povu..... hadi ameingia kaburini bado mnahaha😂😂😂😂😂



Mumwache kipenzi chetu JPM apumzike kwa amani

Shujaa ametengeneza na kutuachia mashujaa, Rais SSH anaendeleza kazi
 
Hawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu hazina maana

Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy. Na haya matangazo hayana faida yoyote kwenye kuimarisha usalama wake.... zaidizaidi anawapa watu fursa ya kumjua kiundani

Kichere aache siasa na kutaka umaarufu wa kitoto.... kuna nafasi ukipewa serikalini lazima upewe ulinzi wa kutosha
Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere
 
Nje ya uCAG ana maisha yake binafsi, kuchukua pisi kali za watu, kurogana, nk. Nawaza nje ya mazoea tu!
 
Wewe ndiyo unaleta siasa. Ni lini na wapi ambapo CAG Kichere alitutangazia kuwa ametishiwa kifo na ameongezewa ulinzi? Habari inaweza kuwa ya kweli, kakini imeletwa na mwingine, wewe unamlaumu Kichere.
Huyo mwingine ambaye sio kichere kayajulia wapi hadi kuyaleta huku.

Au ndio amekuma wewe mpambe wake, maana wapambe wana nguvu kuliko muhusika🤣🤣
 
Hawa kina kichere ndio wanasababisha Degree, Masters, PhD, CPA na ACCA zetu zinaambiwa hazina maana

Kutishiwa kunaweza kuwepo au kusiwepo ila huku kuja kuja kutangaza kwenye magazeti na mitandaoni ni kutafuta kiki tuu kama kina vanny boy.

Na haya matangazo hayana faida yoyote kwenye kuimarisha usalama wake.... zaidizaidi anawapa watu fursa ya kumjua kiundani

Kichere aache siasa na kutaka umaarufu wa kitoto.... kuna nafasi ukipewa serikalini lazima upewe ulinzi wa kutosha

Hutaki aseme ili mumuue kirahisi?
 
Back
Top Bottom