Wao ni kina nani nanyie ni naniTeh teh teh.
Unamuuliza nan sasa?
Nyinyi si mlikuwa mnasubiri CAG Reports ili mumpeleke Dau mahakaman?
Teh teh teh...haya sasa kiko wapi?
Wao ni kina nani nanyie ni naniTeh teh teh.
Unamuuliza nan sasa?
Nyinyi si mlikuwa mnasubiri CAG Reports ili mumpeleke Dau mahakaman?
Teh teh teh...haya sasa kiko wapi?
mi nafikii gazeti halina kosa wao wamefikisha ujumbe kwa jamii , report of auditors si ipo ?Hiligazeti ni la Zitto....mchange ndio analisimamia..wote walipiga Hela NSSF
NSSF haikukaguliwa kwa vile haikuwa na bodi. NHC sijaisikia nayo vipi?
kwani hukumsikia Rais alivyosema pale darajani?.Kwa hiyo kila liandikacho gazeti ndiyo ukweli, nothing but ukweli? Litakuja gazeti lingine litasema kuna ufisadi NSSF. Tuchukue "ukweli" upi?
Sasa tunaelekea kushikiwa akili na magezeti, tena magazeti ya aina yake. Labda tusikie Mwananchi na Nipashe wanasemaje kuhusu hili.
hao ni wale timu lowasa na bavicha,si unakumbuka jk alivyowachezea hattrick,wanajitahidi eti kulipiza kisasi kwa kujaribu kubuni scandal na kuwahusisha watu waliokuwa karibu na jk,ili kumlink jk na scandal ,sasa kila wanapojitahidi wanafailMbona wanamchimba sana huyu dr dau.. Ilhali rais hajasema kitu kuhusu NSSF?
Mkuu hakuna alosema hivyo ila ni kigazeti cha ZZK kinaandika ujinga maana nae ni jipu akiwa PAC na upigaji hela huko Nssf soma mwananchi ndo kwenye taarifa kuwa Nssf hakuna ripoti ya CAG kwa kuwa haikuwa na boardHaya ni maajabu ya mwaka nssf no fraud!
fala wewe tulishasema siku nyingi tatizo la huyo bwana sio suala la ufisadi bali ila sijda yake. kama ni kutukanwa haijaanza juzi mmekuwa mkimtukana miaka yote pamoja na kuliongoza shirika lile kwa mafanikio makubwa kabisa. na wakati huohuo hamuwazungumzii hao wa upande wenu wanaoongoza mifuko mingine japo hatuoni chochote cha maana wanachofanya ukilinganisha na anachofanya huyo mnayemtukana kila kukicha.Nani mmliki wa hilo gazeti, maana liko kikazi zaidi tangu liingie sokoni.
hawa jamaa wanashangaza sana big. wanashindwa kutofautisha kati ya madrasa product na sunday school product. hilo ndo tatizo lao haswaaaa.Teh teh teh...
Eti Ooooh Dr Dau ni mmiliki wa Newcastle United...!
Oooh Dau Dau ana utajir zaid wa Billgates...
Ukiwauliza chanzo chenu cha data ni kipi wanasema CAG Reports...
Afanaleeekiiii....!!
Wazandiki wakubwaaa
binafsi nimekereka sana na chuki zetu. nilijua fika kuanzia mwanzo kuwa hapa linaundwa zengwe tu la kumchafua huyu jamaa kwani hamjaanza leo wala jana. mnakera kwa kifupi.wadau naona mmefurahi sana
kwani anakagua peke yake? huyo ni mtu wa mwisho tu kusign lakini kazi kubwa hufanywa na wa chini yake. inawezekana kabisa hata ripoti yenyewe humfikia magufuli kabla ya huyo professor.kwa huyu CAG sishangai....
mkuu hawa jamaa wameumia/wanaumia sana. kama chuki zao zingekuwa ugonjwa basi wengi wao wangekuwa ICU.Nipo hapa kipempeni nimejibanza nakunywa Ferrero!
Ahahahahaha!!!
lete basi hiyo taarifa yako unayofikiri ndo inaukweli zaidi ya hii ya CAG.Gazeti kama mwanaharibu ukiwa na hamsini elfu habari yako inatoka unavyotaka wewe gazeti la waganga njaa.
Cc,murusuli