CAG: Hakuna ufisadi NSSF

CAG: Hakuna ufisadi NSSF

1461661942895.jpg
1461661942895.jpg
 
Saiz watakuja za zile ngonjera zaoo oooh Alhajj Profesa Assad ni mjahidina mwenzake Dr Dauuu...

Bila shaka kafanya kumtetea...teh teh teh

Ebwana eeeeh Msimu wa embeee nyani hakondiii...
Teh teh teh....mungu si binadamu useme umpe majungu ayafanyie kazi.hakika dr dau yupo upande wa mungu.
 
Hili gazeti ina deal na individuals, ndiyo Yale yale ya chumia tumbo. Sasa wanashindana na Rai
 
Saiz watakuja za zile ngonjera zaoo oooh Alhajj Profesa Assad ni mjahidina mwenzake Dr Dauuu...

Bila shaka kafanya kumtetea...teh teh teh

Ebwana eeeeh Msimu wa embeee nyani hakondiii...

''Msimu wa Nyani, Embe hakondi'' Mkuu ahsante sana!
 
Abb

Abbas hilo gazeti LA zito linasema uongo,ripoti ya audit iliyofanyika na Ernest and young ulikuwa bado haijapitishwa na board baada ya bodi kutumbuliwa siku moja kabla ya ukipitia,soma kipengele cha 9 gazeti mwananchi hapo juu,zzk ni jipu kwani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa PAC ilivyokuwa inaficha madudu ya dau

Usiwe mvivu wa kufikiri

Ingia kwenye website ya CAG utakuta hiyo report
 
Abb

Abbas hilo gazeti LA zito linasema uongo,ripoti ya audit iliyofanyika na Ernest and young ulikuwa bado haijapitishwa na board baada ya bodi kutumbuliwa siku moja kabla ya ukipitia,soma kipengele cha 9 gazeti mwananchi hapo juu,zzk ni jipu kwani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa PAC ilivyokuwa inaficha madudu ya dau
1461662478888.jpg
1461662478888.jpg
 
Acha ujinga maana siyo wakatoliki wote wanaunga mtu kuonewa kama hajafanya kosa. Je wakikujibu kuwa Asad siyo mtu sahihi maana yeye ni muislamu ungefurahi?Ndiyo maana wanazuoni wanamshauri Magu asitumbue kwa tetesi ataliingizia taifa hasara pale wakibainika hawakuiba.
Weeeeee nani hakuiba humor serikalini?
 
hiyo ni amri toka juu dau asiguswe. tumbua majipu ina double standard sana....
 
QUOTE="PACHOTO, post: 16010356, member: 65032"]Watakuja kusema bosi wa NAO ni mwislamu mwenzeke hawaishiwi maneno[/QUOTE]

Kama ni kweli kasema hivyo, basi huo ndio ukweli, jamaa islamia
 
Back
Top Bottom