CAG ashitukia ulaji mil.775/- kila heka NSSF

CAG ashitukia ulaji mil.775/- kila heka NSSF

Huwezi kuelewa, huna uelewa huo. U finyu sana.
Hujajibu wala kuelezea hiyo 20%. Elezea tu kwa urahisi kama ulivyoanza mwanzo ntakuelewa.

Wakati huohuo, hizo NSSF bldgs mpya Arusha walishashusha rent toka USD 12 hadi USD 8. Ndo ujue hayo Ma ROI, ROE, nk walibuma.
 
Unaona kwanini haya kayafanya Dau na isiwe mgala mwenzako. Sema kweli tu.

Bila Dau msingeona jengo namna hilo Moshi.
Kwa hyo wewe unafurahi kuliona hata kama halina faida,sawa na unapoangalia masaburi yako ambayo hayana faida,tumia akili na si makalio
 
Hujajibu wala kuelezea hiyo 20%. Elezea tu kwa urahisi kama ulivyoanza mwanzo ntakuelewa.

Wakati huohuo, hizo NSSF bldgs mpya Arusha walishashusha rent toka USD 12 hadi USD 8. Ndo ujue hayo Ma ROI, ROE, nk walibuma.
Huelewi unachokisoma na huelewi unachokisema. Nnajuwa tatizo lako kubwa ni elimu hewa.
 
Kwa hyo wewe unafurahi kuliona hata kama halina faida,sawa na unapoangalia masaburi yako ambayo hayana faida,tumia akili na si makalio
Povu la nini kijana, unadanganywa na wewe unakubali tu.

Dau yupo Malaysia anachapa kazi saa hizi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.
 
Ok wameiba si sawa.but what really pissed me off hawa jamaa mbali na difference ya 775m walizoiba hawakutosheka,wakaongeza na viwanja feki kama 16,500 maana walisema vipo 20,000 lakin uhalisia vipo kama 3500!
 
Nnakusikitikia huelewi maslahi ya taifa maana yake nini.

Pole sana.
Kwa hiyo maslahi ya taifa ni kuwekeza kwa kutumia akili ya maiti na sii akili zako ukiwa hai,sema ukweli mijengo ya Nssf walitumia akili hai au ya maiti
 
Povu la nini kijana, unadanganywa na wewe unakubali tu.

Dau yupo Malaysia anachapa kazi saa hizi.

Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Hahaaa malasya ni mbinguni au duniani maana kama yuko mbinguni hatuwezi kumpata tena ila humuhumu duniani wallahi pingu aibu yake
 
Back
Top Bottom