Mkuu Nssf kuyumba ilishayumba back five yrs kwa sababu ukishindwa kulipa debtors wako kwa wakati we ni muflisi,kumbukumbu zinaonyesha kuwa alikuwa anashindwa kulipa mishahara,waloshindwa kulipa mafao(mfano ni juzi mwaka) mlimani city palijaa wanachama na waandishi habari walienda benk wakaambiwa Nssf hawana hela na Mara nyingi wanasingizia mtandao uko down,je kweli uongo? Kuthibitisha hilo karibu kudukua kwa staff yeyote wa NBC corporate utaujua ukweli,jamaa alikuwa akikusanya hata milion inakimbizwa kulipa deni,account zilikauka,ukitaka ukweli zaidi waulize wahasibu headofice na ma keshia jinsi walikuwa wanasumbuliwa na debtors,hivyo ili waje ku stabilize it will take time hata actuarial valuation ya ILO inaonyesha uncertainties Nssf,na wameshauri mifuko I merge kuokoa jahazi,dau baada ya kujua jk ataondoka aliamua kutapanya hovyo pesa za Nssf ntakuja na some facts humu mtafunga midomo tu