FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,810
Hahaaa malasya ni mbinguni au duniani maana kama yuko mbinguni hatuwezi kumpata tena ila humuhumu duniani wallahi pingu aibu yake
Mlete basi umshitaki , ya nini unaandikia mate na wino upo ?
Hahaaa malasya ni mbinguni au duniani maana kama yuko mbinguni hatuwezi kumpata tena ila humuhumu duniani wallahi pingu aibu yake
Kwa hiyo maslahi ya taifa ni kuwekeza kwa kutumia akili ya maiti na sii akili zako ukiwa hai,sema ukweli mijengo ya Nssf walitumia akili hai au ya maiti
Kalikuta hohehahe kaliacha mochwari,sikatai kama majengo ni asset kubwa ila umakini ktk kuwekeza,ukiangalia majengo yote utadhani waliojenga walikuwa wamekatwa vichwa,hawakufanya feasibility study hivyo utaona kabisa bongo zao zilikuwa zimekufaKuna assets bora Tanzania hii zaidi ya majengo?
Onesha jengo moja la NSSF la wakati wa Dau linalotia hasara.
Isitoshe, Dau aliikuta hohehahe haina maana, wastaafu wanalia, mafao yao hawapewi mpaka kwa rushwa. Akai transform mpaka ikawa shirika bora la hifadhi katika Afrika na hakuna shirika la umma lenye kuinufaisha nchi hii zaidi ya NSSF yake a Dau. Kumbuka hilo na kama lipo litaje .
Thubutu, kanisome tena, maana unaonesha huelewi unachokisoma.Kalikuta hohehahe kaliacha mochwari,sikatai kama majengo ni asset kubwa ila umakini ktk kuwekeza,ukiangalia majengo yote utadhani waliojenga walikuwa wamekatwa vichwa,hawakufanya feasibility study hivyo utaona kabisa bongo zao zilikuwa zimekufa
Sikatai kuwa anamuwakilisha raisi,na hilo halivinyimi vyombo husika kutokumshitaki,balozi profesa mahalu alirudishwa na kushtakiwa,dau nani bwana?madudu aliyoyaacha Nssf ni mengi mno,hakwepi mkono wa sheriaThubutu, kanisome tena, maana unaonesha huelewi unachokisoma.
Mheshimiwa balozi Ramadhan Dau kwa sasa anamuwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia na jirani za huko.
Unazidi kuruka baada ya siku kadhaa za kutafakari cha kujibu. Kweli uko level ya juu sanaHuelewi unachokisoma na huelewi unachokisema. Nnajuwa tatizo lako kubwa ni elimu hewa.
Unamtetea Dau kwasababu ya udini tu pumbafKuna assets bora Tanzania hii zaidi ya majengo?
Onesha jengo moja la NSSF la wakati wa Dau linalotia hasara.
Isitoshe, Dau aliikuta hohehahe haina maana, wastaafu wanalia, mafao yao hawapewi mpaka kwa rushwa. Akai transform mpaka ikawa shirika bora la hifadhi katika Afrika na hakuna shirika la umma lenye kuinufaisha nchi hii zaidi ya NSSF yake a Dau. Kumbuka hilo na kama lipo litaje .
Wanajenga majengo kwa pesa kiduchu kuficha kikubwa walichokwiba,mahayawani wakubwa hawa washenzi wanaostahili kufyekwa vichwa vyao tuKalikuta hohehahe kaliacha mochwari,sikatai kama majengo ni asset kubwa ila umakini ktk kuwekeza,ukiangalia majengo yote utadhani waliojenga walikuwa wamekatwa vichwa,hawakufanya feasibility study hivyo utaona kabisa bongo zao zilikuwa zimekufa
Dada nikionaga comments zako huwa nachefukwa napata kichefuchefuThubutu, kanisome tena, maana unaonesha huelewi unachokisoma.
Mheshimiwa balozi Ramadhan Dau kwa sasa anamuwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia na jirani za huko.
Swadakta dau ni jizi bobeziSikatai kuwa anamuwakilisha raisi,na hilo halivinyimi vyombo husika kutokumshitaki,balozi profesa mahalu alirudishwa na kushtakiwa,dau nani bwana?madudu aliyoyaacha Nssf ni mengi mno,hakwepi mkono wa sheria
Kula wiki na kiki yake mkuu.Magu kaingia mitini kwenye hili! KULIKONI!?
Huko hakuna wanyonge wote maprzdah wamehusika na atawagusa moja Kwa mojaMagu kaingia mitini kwenye hili! KULIKONI!?