CAG aikana ripoti feki ya NSSF, asema ripoti itatolewa na Bunge Aprili 25

Mtukufu CAG anaweza kutumika kumsafisha mtukufu mwenzie katika Imani.

Alipokuwa Utoah hakuwa akitumika kusafisha wakorintho wenzie acheni unafiki subirini haki itendeke. Mkuu wetu si kasema anamuogopa mungu basi kama ni kweli basi atafanya haki. Sina shaka na utendaji wa Assad ni mpenda haki na wote UDSM wanamjua hata Mukandara namba anaisoma kwa Assad. Subirini haki yake Dau apewe kama kufungwa basi atafungwa kama wasaga sumu ni wa kufungwa basi watafungwa. Subiri
 
nimekimbia mbio kuja humu nikadhani CAG kakanusha kumbe ni umbea tu. magufuli hawezi kukwepa lawama kwa kumteua fisadi kuwa balozi wakati kafuja fedha za umma kiasi hiki.

Kwani yy msafi magufuli
 
Nipashe waliingizwa mkenge kwa njaa zao au ulikuwa mpango wa Mengi kutumika.
tulia sindano ziingie wewe mpuuzi mkubwa! unataka michango ya wanachana iendelee kufujwa na mchwa mpaka lini? tena utulie kabisa hizi fedha hazikuhusu.
 
Mimi napiga picha tu Hosea wa Takukuru angekuwa ndugu katika imani, msechu NHC, Tiagi Masamaki, akina kitilya na yule mmama wa flow meter bandarin alietumbuliwa na majaliwa napiga picha tu hawa wangekuwa ndugu zetu kwenye imani ingekuwaje??
 
PANGEJAFUKAA HUMU, Heeeeeee Dau kuguswa kidogo KILIO nchi nzima,
 
Ramadhani Dau na HARRY KITLYA ni tofauti kabisa. Mkorintho kuiba ni Pete na kidole
nilicheka wakati mmoja kipind cha nyuma baresa aliwakataza timu yake ya Azam kucheza mashindano ya Tusker eti ni kilevi. Halafu huyohuyo mnafiq anakwepa na halipi kodi ya mabilion.
 
Mimi napiga picha tu Hosea wa Takukuru angekuwa ndugu katika imani, msechu NHC, Tiagi Masamaki, akina kitilya na yule mmama wa flow meter bandarin alietumbuliwa na majaliwa napiga picha tu hawa wangekuwa ndugu zetu kwenye imani ingekuwaje??
mjomba mkianza kuhusisha udini kwenye wizi ni hatari sana , tujitahidi kuficha haya mambo jamani , adui namba moja wa nchi hii ni ccm , haya mengine hayana msingi .
 
Back
Top Bottom