CAFE TALK: CCM, CHAUMMA na ACT Wazalendo wanachuana vikali muda huu

Lowasa ndio alitembelea nguvu ya cdm, kama alikuwa na nguvu hiyo angeenda TLP. Alaaniwe Mbowe na genge lake kwa kutuokotea yule mzee tapeli wa kisiasa.
kwann hamkutangaza mgombea wenu mkamsubiri lowasa afukuzwe
 
Unadhani kila mfuasi wa cdm aliridhika na ule upuuzi wa Mbowe na genge lake kumpokea Lowassa? Lowassa yupi kwanza, yule aliyekuwa anasema "elimu, elimu, elimu" kisha anashuka jukwaani?
 
saaahv ndo hamjaridhika, nkuletee interview ya lissu akikubali lowasa kugombea 🤣 🤣 au unatuona kama twaha mwaipaya
 
Narudia tena, si kila mfuasi wa cdm aliridhika na upuuzi ule. Ww unaniambia habari za Lisu, kwani mimi ni msemaji wake?
 
si ndio mmechagua kua kiongozi ama hamumtaki tena
 
Wewe unategemea polisi, TISS na mahakama. Plus msajili wa vyama kaa kimya mkuu.
Unatia aibu
aaah kisa lema hajapata ubunge au sio 🤣 🤣 , kipindi kapata ubunge hadi mjadala wa katiba mpya hamtaki
 
🤣 🤣 🤣 kweli chadema ni chama cha hovyo! kwahio mnaongozwa na mtu ambae hamubaliani na maamuzi yake na mnamuunga mkono au sio
Ni wapi umewahi kukuta maamuzi ya kiongozi ni sahihi kwa 100%? Punguza utoto dogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom