CAF yaifutia uanachama Zanzibar yasema haiwezi kuwa na vyama viwili kutoka Tanzania

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) leo limeifutia uanachama wa Zanzibar ikiwa ni miezi 4 baada ya kupewa uanachama huo.

Rais wa CAF amesema kuwa wamechukua uamuzi huo kwakuwa hawawezi kuruhusu kuwa na vyama viwili kutoka nchi moja(Yaani TFF na ZFA).
 
Wakati wanawapa uanachama waliambiwa kuwa Zanzibar ni nchi au sehemu ya Tanzania? Walitumia vigezo vipi kukubali maombi ya ZFA?

Ubabaishaji everywhere
 
Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) leo limeifutia uanachama wa Zanzibar ikiwa ni miezi 4 baada ya kupewa uanachama huo.

Rais wa CAF amesema kuwa wamechukua uamuzi huo kwakuwa hawawezi kuruhusu kuwa na vyama viwili kutoka nchi moja(Yaani TFF na ZFA).
Wakati wanaipatia uana-chama hawakujua Zenj ni sehemu ya Tanzania?
 
Wazanzibari kwenye suala la kupewa uanachama kama nchi huru walifurahi sana ila uamsho walipotaka nchi yao iwe huru baadhi ya viongoz wa znz waliwaona kama wachochezi sasa acha waisome namba chini ya mtawala Tanganyika aliejificha kwa kivuli cha Muungano_Ombeni nchi yenu ndo mtapewa uanachama CAF na FIFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa utaratibu ni sahihi kabisa zanzibar kunyimwa uanachama. Nchi hii ni moja na ligi kuu iwe moja ! Tofauti na hapo basi nchi hizi sio moja. Zanzibar ikisema ni nchi basi mambo meengi yabadilishwe. Kimataifa zanzibar sio nchi .... Nchi na taifa julikana ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom