CAF yaifutia uanachama Zanzibar yasema haiwezi kuwa na vyama viwili kutoka Tanzania

Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) leo limeifutia uanachama wa Zanzibar ikiwa ni miezi 4 baada ya kupewa uanachama huo.

Rais wa CAF amesema kuwa wamechukua uamuzi huo kwakuwa hawawezi kuruhusu kuwa na vyama viwili kutoka nchi moja(Yaani TFF na ZFA).
cc. Shein!!

Naamini alitoa baraka zake kwenye move ya kwanza!!
 
Hawa mayakhe nawo shidaaah...haki ya nani, kweli ndugu huotesha vidonda vya tumbo!
 
WAAFRIC tunamatatizo sn tena sn ndio maam watu weupe wanatudharua hadi mwisho..
Mbona UNITED KINGDOM wanakubaliwa UEFA na FIFA
NCHI MOJA innayotoa timu zaidi ya MOJA kwenye kuiwakilisha kama NCHI

Zimwi likujualo......
 
Hahaa wazanzibari daini nchi yenu, mnaona sasa mkolon wenu ccm anavyo wazibia riski?
 
WAAFRIC tunamatatizo sn tena sn ndio maam watu weupe wanatudharua hadi mwisho..
Mbona UNITED KINGDOM wanakubaliwa UEFA na FIFA
NCHI MOJA innayotoa timu zaidi ya MOJA kwenye kuiwakilisha kama NCHI

Zimwi likujualo......

Nahisi kuna ujumbe kutoka TZ utakuwa umeenda kuteta Kule kwenye kamati ya C.A.F ili ipatikane namna ya kumsaidia malinzi kutong'ang'aniwa na serikali ya Pombe na hiyo ndio namna pekee ya kumsave Malinzi..Kwa kuwa kupewa chama huru cha soka Kwa wazanzibar ni tafsiri mbaya ya kimuungano Kwa serikali ya CCM na hilo limetokea chini ya J.Malinzi akiwa raisi WA TFF na alibariki Kwa 100℅ kabisa bila arguments yeyote...ila kusema kuwa vyama viwili kutoka Tanzania haiwezekani ni kama sababu tu waliyotumia C.A.F kurudisha hali kama ilivyokuwa awali...Kwa kuwa Technicality hapo Hamna sababu ya msingi ukizingatia tuna mifano mingi kama ya nchini U.K wana CHAMA CHA SOCCER CHA ENGLAND, WALES, SCOTLAND..n.k na kote kuna timu zao za Taifa separately.
 
Hahahahahahahahaha, Ukweli utabika ukweli na kiongozi wa kweli akiona kuna sehemu amekosea hujirekebisha mara moja.. CAF wamejitambua... Maana Sahara Magharibi nao wapewe uanachama na pia kule Nigeria Jimbo la Delta nao wapewe uanachama! Jibu no way
 
Ligi ikiwa moja timu za Zenji zitashuka Daraja zote... na pia jezi za nembo za Pombe watakubali?
 
Zamani kulikua na ligi 3
Ligi ya Bara
Ligi ya Zanzibar
Na Ligi ya Tanzania ambapo washindi 2 au 3 wa juu hutoka ligi mbili za muungano na baadae hucheza kutafuta bingwa wa Tanzania
Washindi wa wawili wa kwanza huwakilisha makombe ya Afrika
Tutarudi tu huko
 
Back
Top Bottom