CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC

Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha

Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Angalia bingwa wa shirikisho mwaka 1993 ni nani? ujiulize alicheza na nani ?maana mabingwa wapo wameorodheshwa au nikupatie orodha ili ujinga ujinga ukutoke
.
 
Hadhi ya pili halipo, Hadhi ya tatu ndio confederation ya sasa, Huu mfumo ni wa ulaya Caf wanaiga tu.

Ulaya kulikua na makombe matatu
1. Champions league ambao wanafuzu mabingwa tu
2. Cup winners cup ambao wanafuzu waliochukua Fa cup za Nchi tu.
3. UEFA CUP ambayo wanafuzu washindi wa pili wa ligi.

Ulaya wa kavunja Cup winners cup na Europa league na kutengeneza Europa league.

Same kwa Africa tukatoa Cuf Cup na kombe la washindi tu katengeneza Confederation

So Cuf Cup ndio jina la zamani la Confederation na mshindi wa pili (ama watatu na nne incase taifa lina rank kubwa) anaenda kucheza huko.

Kombe la washindi halipo kabisa sababu hata FA zilivunjwa tuna miaka mingi hatuchezi hadi karibuni ilipoanzishwa tena.
Caf wamesema hii ni fainali ya kwanza - wakilenga confederation

Caf yeye baada ya kuyaunganisha--- kaanza kuhesabu upya mkuu
 
Caf wamesema hii ni fainali ya kwanza - wakilenga confederation

Caf yeye baada ya kuyaunganisha--- kaanza kuhesabu upya mkuu
Ni sahihi kwakuwa wamefanya hivyo baada ya mabadiliko.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
IMG_20250204_023144.jpg

Poyeee
 
Tatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.

Makombe yalikua matatu
Simba alicheza lenye hadhi ya mwisho (tier 3)

Baadae lenye hadhi ya pili na tatu wakaunga(au kuvunja) kutengeneza hili shirikisho la sasa.

Lakini kuna baadhi ya mashabiki , timu yenyewe huwaambii kitu hapa.

Nilikuja kukata tamaa raisi ws tff huyu karia-- yanga walivofika fainali , akaswma hata simba alifika mwaka 93, bila ya kutoa ufafanuzi wowote

CAF katoa ukumbusho -- tuwe realistic
Wakati Simba anacheza Fainali ya Abiola Yanga ilikuwa haijaanzishwa ama vipi?

Kama Caf walianzisha kikombe na Simba akacheza fainali na Yanga hawakucheza moja kwa moja Simba anamzidi pakubwa Yanga kimataifa kwa sababu Simba Amecheza fainali mashindano mawili ya Caf Kuliko timu yoyote hapa Tanzania je hili mnabisha wana Yanga?
 
upo sahihi mkuu --- lakini wapi nimesema mimi ni yanga? --- jambo hili watu wanabishana kijingajinga tu kila siku sababu ya uelewa .

kundi kubwa tu wanaoponda na wanaotetea hawaelewi context zaidi ya ushabiki.

kwingine kote tupo sambamba
 
A
Kwa timu ipi uliyonayo ya kumfunga Berkane na kuchukua ubingwa?
Angalia livimba macho lingine!Hizi ngonjera tulikuwa tunasikia tokea mechi na Ahly Tripoli.Topic ya uzi ni nini?Au umedandia tu.Ndio mnakuja kupata mimba za utotoni kudandia dandia tu.
 
upo sahihi mkuu --- lakini wapi nimesema mimi ni yanga? --- jambo hili watu wanabishana kijingajinga tu kila siku sababu ya uelewa .

kundi kubwa tu wanaoponda na wanaotetea hawaelewi context zaidi ya ushabiki.

kwingine kote tupo sambamba
Wewe umekuwa kama kiwakilishi tu
Swali limeshafika kwa wenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Pole sana kakaa... Unateseka na simba kuliko maisha yako , lala ujue brother
Yaani wewe una roho mbaya ya kichawi live kabisaa una chuki na simba mnooo
Leo hulali wewee una maumivu makali sana utaanzisha nyuzi mpk maji asubuhi wawe makini familia yako waweza jiua wewe maana stress zimekujaa hapo
si km nyinyi mwaka wajuzi hamkulala,mmpo fainali ila bado unaumia na huo ukweli wa CAF
 
Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha

Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Yeah,
Kwa hiyo Simba imefika fainali mbili katika mashindano tofauti mawili ya vilabu vya Africa.
Hongera sana Simba
 
  • Thanks
Reactions: Lax
CAF wamethibitisha Simba hajawahi kufika final CAFCC
Tarehe 27/04/2025, Simba walifika fainali ya CAFCC baada ya kuiondoa Stellenbosch ya South Africa katika nusu fainali kwa jumla ya mabao 1-0

Sasa ndugu inakuwaje unasema hawajawahi kufika fainali? Mbona wewo!
 
Wapo sahihi. Tangu hayo mashindano yapewe hilo jina bado Simba Sc hawajawahi kufika fainali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom