Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 24,940
- 26,796
Mimi nakunywa mvinyo hapa Bananapole na wewe pia
Mimi nakunywa mvinyo hapa Bananapole na wewe pia
MIMI NAKULA NYAMA CHOMA LEO TENA GOMC HAPAMimi nakunywa mvinyo hapa Banana
ulisoma maandishi mkuu? -- au uliona 2x pekee?Ile 2X wanayopost kwenye page zao wameitoa wapi?
Mleta thread hii, anathibitisha ile kauli ya "HAMNAZO"! Nadhani, huwa anaacha kuiwaza Simba, anapopata usingizi tu!Utopolo inacheza mechi za kimataifa huko mtaa wa Gombani Kusini pemba
Watakuambia walicheza fainali mwaka 1993 mpaka wachezaji wakaahidiwa magari aina ya KIA!Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Ni uelewa tu na namna ya kutofasri jamboWale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Watasoma lakini kuelewa- watagomaNi uelewa tu na namna ya kutofasri jamboView attachment 3319953
Huyu ni mtoa post kama wewe Tena katoto ka afu mbili!Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Endelea kusali uto.Kwa timu ipi uliyonayo ya kumfunga Berkane na kuchukua ubingwa?