Mkuu mpaka mda huu bado unatesekaJibu hoja
Sasa hivi jambo kubwa ni Simba kuleta ubingwa wa Africa Kwa mara ya kwanza. Utopolo wamesikia Simba anaanzia ugenini wamepagawa huko.Nawapopoa watani zangu
Kuhakikisha wanakosa amani
Mnooo...halali leo huyuuMkuu mpaka mda huu bado unateseka
Mjinga hajibiwiJibu hoja
Ni muda wa kupumzika sister, mimba isije ikachoropoka 😀Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Tatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.Wale waliodai ati Simba alicheza final ya CAFCL na Stella Abidjan 1993
CAF wenye mashindano wamekanusha
Hizi propaganda tu Abiola cup mbumbumbu wakaita final ya CAFCC View attachment 3317887
Hii ndo hoja yanguTatizo taifa hili ni la watu wajinga viongozi wa timu , mashabiki mpaka tff.
Makombe yalikua matatu
Simba alicheza lenye hadhi ya mwisho (tier 3)
Baadae lenye hadhi ya pili na tatu wakaunga(au kuvunja) kutengeneza hili shirikisho la sasa.
Lakini kuna baadhi ya mashabiki , timu yenyewe huwaambii kitu hapa.
Nilikuja kukata tamaa raisi ws tff huyu karia-- yanga walivofika fainali , akaswma hata simba alifika mwaka 93, bila ya kutoa ufafanuzi wowote
CAF katoa ukumbusho -- tuwe realistic