CAF, Napendekeza kufutwa goli la ugenini na Fainali Moja

acha kuwa mtumwa wa fikra za kimagaharibi, Kwa hiyo kila kinachofanywa na wamagharibi lazima na sisi tuige?
Wewe inwkuingia akilini fainali kuchezwa nyumbani ns ugenini? Yaani ukikaa na kuwaza unaona kabisa ni sawa timu A kuanzia nyumbani ns kumalizia fainali ya pili ugenini?

Kubalini wamagharibi wametuzidi vingi.
 
Yaani ifanye kisa Yanga!!?

Mlizidi kelele na dharau kwa wakubwa wenu
Mbona hata nawe hapa unapiga kelele tu, unajumuishaje mawazo ya Watu tofauti humu JF kuwa ya wote?

Waweza orodhesha majina yao wote hao waliokupigia kelele utayaambatanisha hapa au unahemukwa tu na hisia?

Hivi unaelewa ujumbe wa kiroho ulioubeba kupitia ID yako?

ID yako unaitumia kimakosa sana.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata nawe hapa unapiga kelele tu, unajumuishaje mawazo ya Watu tofauti humu JF kuwa ya wote?

Waweza orodhesha majina yao wote hao waliokupigia kelele utayaambatanisha hapa au unahemukwa tu na hisia?

Hivi unaelewa ujumbe wa kiroho ulioubeba kupitia ID yako?

ID yako unaitumia kimakosa sana.


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Wee leo umevurugwaaaaa, hebu relaaaaaaxxxxx
 
Habari wadau

Nilikuwa napendekezo kwa shirikisho la mpira Afrika (CAF), mashindano yajayo kwenye Champions na Federation, timu zishinde kwa juhudi zake bila kuongezewa GOLI zinapoenda ugenini. Na Fainali iwe Moja
Mm CAF nimesikia kilio cha wapenzi wa Amfibia kwa masikitiko makubwa na ahidi kulifanya kazi ombi hili kabla ya finally ya pili

Asante
 
Kwanini?? Toa ufafanuzi...
Kwasababu karuhusu kutobolewa goli la pili akiwa bado anashangilia kigoli chake cha papatu, huku mabeki wake wakiteswa kwanza kabla mkandaji hajakandikiza mkando wa nguvu kunyavu, huoni hii ni sababu iliyojitosheleza uto kuukosa ubingwa? na kama vp injinia wa mchongo alibomoe tu hili litimu maana tumechoka kukandwa mbilimbili, yaani ya kibu dee hayajaisha vizuri, leo tena tunakandwa kiuzuri kabisa na mwarabu dah! hatukubali, au sio WANANCHIII?
 
Kwanini?? Toa ufafanuzi...
Kwasababu sisi uto tumekubali kukandwa goli huku bado tukiwa tunashangilia kigoli chetu cha mchongo, je huoni hii ni sababu tosha kabisa kuweza kutukosesha kombe sisi utombile hata kama tukishinda njaa kule machinjioni na mahari yaliko malalo yetu sisi utombile?

kama vipi injinia wetu wa mchongo livunje tu hili litimu limetudhalilisha mno leo, si eti WANANCHIII? wapenda maandazi.
 
YANGA ipewe heshima yake ni kubwa kuliko hao unaodhani ni wakubwa.
Akili za kusikia changanya na zako

Unajua kwanini mabingwa wa shirikisho hawakuwekwa kwenye mchakato wa super league na CAF?

Chukulia mfano wa UEFA champions League na UEFA Europa League ndio unajua kwann watu wanasema Simba ni kubwa afrika na sio timu nyingine ya kusini mwa Sahara ukiondo mamelod na mzembe
 
Back
Top Bottom