SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
yan anajua kabisa umuhimu wa penalt yake, anaenda kupga kwa hasira kma anaenda kuua mwizi bhana.
Alidhani anacheza na kaseja kama siku ile ya Yanga na Simba wakatoa 1 1
yan anajua kabisa umuhimu wa penalt yake, anaenda kupga kwa hasira kma anaenda kuua mwizi bhana.
Alivyo ifunga Simba mlichekelea sana kwamba yeye ni noma kwa penati
unamaana gani mkuu..?
Hivi matokeo ya Simba na Prison vipi?
dah asante Lazy mate
wamewatoa al ahly mkuu,infrastratn ya kufungwa nini mpaka umesahau kama mlikuwa mnacheza waarabu?
tatizo amkujianda na penati mlijua dk tisini mtakua mshakula tano zenu..kocha hakutegemea kufika uko kote..Hawa jamaa sio wazuri kama zamani,kama tungekuwa makini tungewatoa kwenye penati.Ingekuwa enzi zao wangetufunga hata 3 bila
aibu sana hayafai hata kusemwa hapa
umeshakwisha kaka ilikuwa inazingua halafu
Wanafirwa sana
sa hivi tunaongelea hii mechi hayo ya past yabaki huko huko