CAF Champions League

CAF Champions League

Kwa herini bandugu wote...

Ndio matokeo ya mpira haya
 
The lucky was not on our side heaven on earth but we tried...bahanuzi should not be blamed whatsoever...hajafanya makusudi
 
Daaah! Sio mbaya, Al Ahly wanapata penati 4 - 3 Young Africans
Waliopata Yanga Didier, Canavaro, Okwi huku
waliokosa ni Oscar, Bahanuzi na Twite
Al ahly wanafuzu hatua ya 16 bora!! Die hard kwa wanayanga!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
haaa haaaa this is pretty cool ,
Kama watanzania tunaungana na wana yanga wote kuomboleza kilio chenu , taifa kwanza ........
 
Back
Top Bottom