CAF Champions League

CAF Champions League

Haya Yanga rudini home, ligi kuu inawahusu.
Usiku mwema wote, duh machozi yananilengalenga hapa. Nahisi nitalia
 
Yanga kama kawaida yenu .. mwarabu hauwezi, mtuachie sisi
 
Kumamamamamamamamamae zenu Kina bahanuzi,yaani watu wanakosa penalt mnashindwa kuzitumia nafasi
 
Oyoooooo mtoto yake mavi

Ah so sad. Mimi ni Simba lakini sikupenda Yanga watelewe maana ni Tanzania imetolewa anyway poleni sana watani zetu ila safari hii angalau mmejitahidi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mungu katuondolea aibu hii ....Kama Yanga wangeshinda na kuingia 16 bora Yanga wangeenda aibisha Taifa....

Ahsante Mungu...
 
Back
Top Bottom