CAF Champions League

CAF Champions League

Dakika ya 86 na Yanga wanakaliwa kooni kupita kiasi. Nafasi ya kuwatoabhawa jamaa imepungua sana.

Tiba
 
Moja bila mpk sasa, dk 10 zmebaki mpira kuisha!!!! Umeelewa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hii style. Yanga waombe waende kwenye penalty tu,refa sasa anawatafutia goli la 2 ahly, mimi wa msimbazi Wacha niwe muwazi hapa
 
1…11‡4 1„01‡4 1…11‡4


1-0(1)
 
waarabu fanyeni mambo mnatunyima raha huku
Baba zangu waarabu msimalize mpira hadi mufunge magoli 3 ya ushindi muwarudishe yanga kwao !!! wasambaratike huko huko Alexandria!! wabebbe magoli yao!!
 
Back
Top Bottom