Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Asilimia kubwa mkuu Heaven on Earth
sidhani
Asilimia kubwa mkuu Heaven on Earth
hili goli halituzuii kuongea
hapa ninapoangalia mimi kuna mtu anasikiliza redio kama mnavyojua redio inawahi kuliko tv sasa yeye akasema goli mara likaingia wasjabiki wa yanga wamempa kichapo heavy
wanataka kutangaza ndoa
Bado wewe tu
jamani Yanga hawa Kipa anapangua
Kabisa mamie, ila we ongea badala yangu mie ngoja kwanza nipumzike maana tumbo limeshanishika ghafla hapa.
Kwani hawa kandambili wakishnda hapa wataenda kucheza na tp mazembe huko taifa tutapata aibu kubwa bora watolewe hapo hapo egypt. Waarabu tuepushie hii aibu