Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,363
Baby wa chalinze hongera, mmeshinda!!!!
hahaha! Muache mwenzio anamajonzi!!
Baby wa chalinze hongera, mmeshinda!!!!
mi show zangu ndefu sana,back to the topic.Yanga mmejitahidi
Penati atapiga nani na Kiiza washamtoa?!
ah!samahani mkuu,ni furaha iliyopitiliza ya kumvua chup kanjbah na yanga kupigwa na waarabu,
yan leo wigan na ahly ndio majembe yangu
Mungu Ibariki Yanga.
Ushindi leo muhimu
hahaha! Muache mwenzio anamajonzi!!
Mamaaaaa dakika tano wameongeza
Kwani hawa kandambili wakishnda hapa wataenda kucheza na tp mazembe huko taifa tutapata aibu kubwa bora watolewe hapo hapo egypt. Waarabu tuepushie hii aibu