CAF Champions League

Yanga wanacheza vizuri sana kipindi hiki hawajapaki bus
 
Mwarabu anasemaa alhamdulillah. Hawa walikuwa wameisha dah!!! Yanga funga hao vilaza wa kiarabu.
 
للرياضة البدنية‎
0-0
Ungetafasiri kabisa twendwe wote sawa.
 
Yanga wasiwaache hawa jamaa kiivyo,maana naona jamaa wanaingia kwa kasi sana kwenye lango letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…