Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
AMEN Ruhazwe JR! thanx alot, mzima weye lakini?eee Mwenyezi Mungu ni wakati mwafaka wa kuweza kusema na maisha yetu,tizama magonjwa,vifo na majanga mbalimbali yanavyotuandama sisi wana wako,tunaomba useme na maisha yetu kuanzia humu chichat had majumbani mwetu,tunaamini kuwa ukisema nasi,wagonjwa watapata kupona ktk jina lako,tembea hadi kwa mama yetu(mama cacico )ukapate kumponya na kumpa nguvu tena......
Amina
amen mke mwenza, ndio naelekea airport hapa, nisikize basi lol!Mungu amtangulie na kumponya
amen mke mwenza, ndio naelekea airport hapa, nisikize basi lol!
AMEN Ruhazwe JR! thanx alot, mzima weye lakini?
nishavaa viatu... twende nikusindikize
pole my dear! tuko wengi leo hatupo kwenye mood! nadhani ni upepo tu unakatiza! yatapita yote haya!yaan hapa sina mood kabisa, charminglady kafiwa,wewe unauguza, Madame B kafumaniwa huko mansese , Erickb52 Nyumba yao imepigwa X kisa ipo bondeni, junior .Cux kaibiwa kile kibanda chake cha shoe shine,...ntacheza na nan mie?
twende mamito! ningoje mwenge basi kama vipi!nishavaa viatu... twende nikusindikize
khaaaaa! Umepotea, sikusomi kabisaaaaaa!amina!
khaaaaa! Umepotea, sikusomi kabisaaaaaa!