cacico behind the bars

Dah kisicho riziki hakiliki na huyu kachezea ban sasa nanihii kule jukwaa la wapiga kura na wagombea atapona kweli/nani chanzo cha ban.:confused2:
 
Kibaya zaidi kafumaniwa huku ana mimba ya miezi saba cacico bana.
 
Last edited by a moderator:
hakuna marefu yasiyo na ncha, atarudi tu mjengoni
 
Kibaya zaidi kafumaniwa huku ana mimba ya miezi saba cacico bana.

inaonekana we unajua mengi hebu bhaeleza bhananchi nini chanzo au ni wewe ndo source ya matatizo baada ya kukutolea nje ukamchomea utambi
 
Ntake razi,mke wa ntu chumu.
 
tumuombee huko aliko

pole yakee

kuna watu nahisi wanasugu za ban
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…