1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga!
Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni MAUAJI YA KUTISHA ambayo yametukosesha ndg zetu tuliowategemea ktk familia zetu na Taifa kwa ujumla!!
Ktk mauaji hayo kila mmoja wetu anajua kuwa mtuhumia mkuu ni CCM, ambao mpaka sasa wamekaa kimya kana kwamba hawajui kilichotokea! "Hapa sisiti kusema UKIONA KIMYA UJUE NDIO!!"
Cdm, tafadhari narudia Cdm!! Tunahitaji kusikia msimamo wenu ktk hili!! Ndg zetu wanauawa na magamba kwa sababu ya ukombozi tena wanauliwa kwa dharau wakijua hatuna la kuwafanya!! Huu ni ukatiri ulotukuka!!
Cdm ninyi ndo viongozi wa ukombozi jamani nawaombeni tafteni njia mbadala ya kuwatia kitanzi wahusika maana hata huo upelelezi wanafanya wao Magamba usitegemee lolote!!
Bora watu tuingie hata msituni tulipize visasi tu! Hawa magamba wameshajua hawana lao tena sasa wameanza kutuua!! (NANOA PANGA SIKUBALI NDG YANGU AFE HIVIHIVI!! SAHAU!!)
Nasistiza jamani kiongozi yeyote cdm atujuze huo upelelezi umefikia wapi!!
..utakuwa ni upunguani na kutokuwa na utimamu wa ubongo unapo wafananisha CDM kufanya haya mauaji. Kwa vyovyote CDM hawawezi na hawajawahi kuhusika kuua wapiga kura wao, bali ni CCM, na kuna matukio kazaa tu ya kudhibitisha, kumbuka CUF nini kiliwatokea, sema kilichowagarimu CUF ilikuwa ni suala la UDINI ambalo lilipandikiza na kuenezwa mpaka kwa mabwana wakubwa. Ila la CDM linasapoti kila kona ya dunia, na ni dhahili kuwa CDM ni chama makini chenye kulenga kutokomeza suala la rushwa na ufisadi na kuleta uwajibikaji ktk matumizi ya rasilimali za umma. Na CDM ni mwiba kweli hata wewe unafahamu (hata kama kimoyomoyo) ingawa unaweza ukapinga kwa kuropoka, lakini hakika inaeleweka CDM kilitufumbua macho sisi walala hoi juu ya uzandiki wa CCM.1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.
Ndg yangu Elli, binafsi nadhani sio jaziba, hawa Magamba watatumaliza tu! Hata ukitumia hoja ndo kabisaa unawachochea kuua! Heshima hamna Elli, yanatuibia, yanatunyonya, yanatudharau hata kutuua yatuue!!?? Kaka Elli husisahau auaye kwa upanga.....!!Mpwa unachoongea ni sahihi kabisa nakubaliana na wewe ILA punguza jazba kidogo twende nao taratibu! Hatutaisha wote kabla ya saa ya ukombozi kufika! Wakati sasa u-karibu kuliko wengi wetu wanavyodhani ila nimeshangaa kuona ghafla CDM imepoa kidogo ninachotaka kuamini ni kua watakua wanajipanga! I will be there for the memory of those FIGHTERS, will you be there too? si kwa panga bali kwa hoja!
....namkumbuka mtaalamu mmoja kutoka UDSM Dr Ng'wanza Kamata aliwahi kusema, wakala wa viongozi ni wabaya zaidi ya viongozi wenyewe. Sasa kwa hili la CCM, wanaofanya mauaji si JK, wala si Mukama, bali ni hao vijana wenye ndoto za kulambishwa ukuu wa wilaya na wanaopewa vi elfu kumi kumi, na wao hujisahau kuwa wanaowaua ni ndugu zao na ni binadamu wanaotegemewa na familia zao. Inasikitihsha sana, najua JK atakuwa na wakati mgumu sana ktk hili la Igunga, na atakuwa anashangaa imekuwaje chama tawala mpaka kinaua watu ili kutafuta ushindi?
Nothing to think!! More than two guys are suspected on this but govnt still loitering with nothing action! Better to face my sword!!unanoa panga kwenda wapi?????????????think twice,mambo mazri hayataki haraka kijana wangu
Ndugu zangu wana jf, kila mmoja wetu nadhani atakuwa ameguswa vya kutosha kuhusiana na matukio mengi yaliyotokea ktk uchaguzi mdogo Igunga!
Ktk mengi hayo yaliyotokea, KUBWA zaidi ya yote ni MAUAJI YA KUTISHA ambayo yametukosesha ndg zetu tuliowategemea ktk familia zetu na Taifa kwa ujumla!!
Ktk mauaji hayo kila mmoja wetu anajua kuwa mtuhumia mkuu ni CCM, ambao mpaka sasa wamekaa kimya kana kwamba hawajui kilichotokea! "Hapa sisiti kusema UKIONA KIMYA UJUE NDIO!!"
Cdm, tafadhari narudia Cdm!! Tunahitaji kusikia msimamo wenu ktk hili!! Ndg zetu wanauawa na magamba kwa sababu ya ukombozi tena wanauliwa kwa dharau wakijua hatuna la kuwafanya!! Huu ni ukatiri ulotukuka!!
Cdm ninyi ndo viongozi wa ukombozi jamani nawaombeni tafteni njia mbadala ya kuwatia kitanzi wahusika maana hata huo upelelezi wanafanya wao Magamba usitegemee lolote!!
Bora watu tuingie hata msituni tulipize visasi tu! Hawa magamba wameshajua hawana lao tena sasa wameanza kutuua!! (NANOA PANGA SIKUBALI NDG YANGU AFE HIVIHIVI!! SAHAU!!)
Nasistiza jamani kiongozi yeyote cdm atujuze huo upelelezi umefikia wapi!!
Right!! Lakini kaka hata hawa cdm wamekuwa kimya sana, bora basi hata watuambie kinachoendelea ili tubaki na matumaini kwamba wapiganaji wetu wanafuatilia! Lakini wamekuwa kimya kitu ambacho kinanifanya nizidi kunoa panga kwasababu sina tena msaada!!Nafikiri CDM ina vichwa vinavyoona mile 1000 mbeleni. Unategemea CDM waseme nini?, The only way wanachoweza fanya ni kukusanya ushahidi na kuuweka ili ukiika muda muafaka utumike. Katika nchi inayosema inaongozwa kwa sheria usitarajie chama makini kama CDM, I mean kama CDM kama chama itoe tamko lolote kuhusiana na jinai iliyofanywa kwa wananchi wanaokiunga mkono, ambayo inaweza kusababisha au kuonekana ni ya kichochezi. CDM wanajua kuwa kasi walioianzisha inatikisisa wanajiaminisha kuwa ni wenye nchi, kamwe CDM haiwezi kutoa mwanya wa kisheria wa kuwafanya hawa wanaojiaminisha wenye nchi kuichukua CDM kama ni Chama kilichotangaza vurugu, uasi and any type of unrest. CDM kwa kukaa kimya katika masuala haya ni pigo kubwa sana kwa wauaji, pia Politically kina-waprove kuwa they are wrong about their premises about CDM kuwa kinavuruga amani. Wauaji wanaweza kuchochea reaction ya wananchi, kama wananchi waliochoka na siyo kusubiri reaction ya CDM kama chama cha siasa. CDM inachukua nafasi ya Chama Tawala ambacho kinaonesha uwezo mkubwa sana wa kuhandle mambo sensitive kwa mustakabali wa amani na utulivu wa nchi. Kama wauaji wamefanya hivi ku-provoke reaction ya CDM kama chama watakuwa very wrong, and for this case wanakuwa frustrated zaidi. Ninawapongeza sana viongozi wa CDM kwa msimamo wao wa kuacha vyombo vinavyodhaniwa kikatiba vimepewa dhamana ya kushughulikia mambo haya. Cha muhimu ni kuwa CDM kimyakimya wakusanye ushahidi wote kwenye matukio haya for any possibility of future prosecution. Ni wajibu wa CCM kwa kutumia vyombo vyao vya dola na si CDM kuonesha reaction yao katika matukio haya. Anything other than that will come to haunt them sooner or later.
Right!! Lakini kaka hata hawa cdm wamekuwa kimya sana, bora basi hata watuambie kinachoendelea ili tubaki na matumaini kwamba wapiganaji wetu wanafuatilia! Lakini wamekuwa kimya kitu ambacho kinanifanya nizidi kunoa panga kwasababu sina tena msaada!!
pamoja mkuu!! Thanx.cdm haijawa kimya kwa haya mauaji ya igunga, sauti yao imeshasikika na wanalifuatilia ili jambo kwa kina ili kuwabaini wale wote waliousika kufanya vitendo hivi viovu. Kwa kauli wanafahamika ni viongozi gani wa ccm waliotoa amri ya mauaji pamoja na wale green guard walioagizwa na kutumia mikono yao kufanya hayo mauaji ya kutisha. Cha msingi kilichopo ni ukusanyaji wa usahaidi, (evidence) kabla cdm kutoa kauli yake nzito kuhusu swala zima la mauaji ya igunga. Hili sio jambo la kulipiza visasi wala kuingia msituni inahitajika busara zaidi na vyombo vya sheria vifanye kazi yake, na ingawaje vyombo vyetu vya sheria ni vyombo vya kuficha makosa lakini itambulike wazi kama haki ya waliodhulumiwa maisha yao itatendeka, kwa wana igunga kila aliyekuwa na ushaidi wa mauaji hayo auelekeze cdm.
tungekuwa uarabuni mi mwenyewe nakung'oa kichwa bila maelezo halafu ndo utajua waliua watu ni cdm au ccm1. misitu imekuwa adimu sana siku hizi, hii inatokana na biashara ya mkaa.
2. je wewe unaushahidi gani kuwa ilikuwa CCM na sio CDM
3.Humu JF kuna watu wengi sana na wengine ndio hao unaotaka kuwaua sasa vipi unawaomba wajiunge na wewe.
4. CDM wanafanya uchunguzi wakati wao wenyewe ni washakiwa.