"Bye Daddy"...... Dah!!!

aseeeeeeee!....

apo juu gy na bigirita nimewamisiiiiijeeeeeeeee?!...

aseeee!njoeni basi jayjay asee!..hizo pombe tutakazokunywa zitatukomaaaaaajeeeee?!...aseeeh
 
Wababa wa dot com bhana, mnakuwa karibu na vibinti vyenu hadi wengine mnaingia kwenye skendo ya kufanya mapenzi na binti zenu, haya...... Bye Daddy!
 
Sijui huwa kuna na nini maana nikiangalia na sie tulivo vibinti vitupu pamoja na kupeleka wajukuu nyumbani lakini huwa hatukui kwa baba
 
Umenikumbusha mwanangu Ngina......................huyu mwanangu mwingine Cantalisia tangu aanze kujitegemea amebadilika sana siku hizi, we ngoja akose kodi ya nyumba, atakuja mnyenyekevu, utamsikia, "Hi! Daddy, I miss you, mmmmwaaaah" Nyooo! hupati kitu mwaka huu, mwana ukome.................LOL
 
You will melt! najua sana you can't resist that Mmmmmwaaaaah na ndio maana anaendelea kuitumia. lol
 
aseeeeeeee!....

apo juu gy na bigirita nimewamisiiiiijeeeeeeeee?!...

aseeee!njoeni basi jayjay asee!..hizo pombe tutakazokunywa zitatukomaaaaaajeeeee?!...aseeeh

Hata mie nimewamisije aisee @Big & GY pulizi hata kumiss call?! Babu hajajibu Bibi atamkomaje kivip?! Thread imepepea mno nimeshindwa kufatilia mwanzo mwisho
 
Wajameni... Huu ndo muda wa kabinti "kudeka" nihakiki homework aliyofanya kabla sijaenda kupiga mitungi.... Sasa dah, ngoja nikagide masanga nianze kuzoea mie. Mkimwona bibi mwambieni the way nlivozawadiwa "bye dady" nami namzawadia "am sorry"
 
Nilidhani unawahi home kuona bibi atakukomajeeeeee! unaanza kusepa day one?
 
Umenikumbusha mwanangu Ngina......................huyu mwanangu mwingine Cantalisia tangu aanze kujitegemea amebadilika sana siku hizi, we ngoja akose kodi ya nyumba, atakuja mnyenyekevu, utamsikia, "Hi! Daddy, I miss you, mmmmwaaaah" Nyooo! hupati kitu mwaka huu, mwana ukome.................LOL

Jaman baba,ww unajua kbs hili tulilipanga ili kumtuliza mama inakuaje unanigeuka!alafu dady cm yangu haina hela nitumie bac!i lov u day,mwaaaaa!bye dady!
 
Soulmate pole sana na upweke, hapo inabidi ufanye mpango wa kamatesha kengine hapo, maana mama yao atakuwa mpweke wakati anakusubiria urudi toka zero pub
 
Soulmate.... Hili laweza kuwa neno ujue..... Bye daddy! Dah!
 
Nimefurahi kwa salamu dear.... Seriously speaking hata mimi nimemkumbuka marehemu baba yangu.... Alikua ananipenda mno!
Oh.... RIP hommie's father in law. Inauma sana tunapopoteza wapendwa wetu lakini siku zote kazi za Mungu hazina makosa!
 
Babu mbona unanichunia kama hujaniona leo? tuna ugomvi?

Basi ndio maana... haya, akija tu nistue, mi narudi jikoni.
Umeona BAbu anavyo kataa kunijibu? sijui nimemfanya nini mie.

Mbona babu yetu mtundu sana? hivi haoni myaka yake? lol

Haya Babu yangu, chapa kazi, tuta chit chat baadae. :hug:

Haya niko hapa mama, sema utakacho ODM anakusikiliza na yu tayari kuikata "kiu" yako.:A S-coffee:
 
Back
Top Bottom