Bye Bye Tanganyika - WaZanzibari wainusuru Nchi Yao

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,179
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.

Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya kauli zinazosikika Zanzibar zikimzindua Bibi SSH
.

Makusanyiko ya mikutano ya Zanzibar ambayo kashikashi zimeanza ni balaa mikutano rasmi haijaanza wananchi wameanza kuitikia wito katika JIHADI hii ya kuinusuru nchi yao.
 
Tunawatakia kila la kheri lakini tatizo ni hawa wapiga dili wa mama ambao wanaona ulaji wao utakatishwa!
 
Kama Znz wakitulia vizuri na wakaacha siasa za ugomvi miaka 10 ijayo. Serikali inaweza kusomesha watoto wao kutoka Nursery/Vidudu mpaka University bure kama Namibia, hii ikiwa ni pamoja na kulipa wasiokuwa na kazi fao la kutokuwa na ajira. Hii ni kama watasimamia rasilimali zao vizuri, kubana mianya ya wizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuongeza uwekazaji hasa PPP. Tanganyika itakuwa bado sana maana huku tuko wengi sana na makandokando ni mengi.
 
Pambaneni halafu mje mchukue Tanga iwe sehemu ya zenji , tutafika mbali sana huku bara tunatengwa ..Tanga kuna eneo kubwa sana mpaka usambara huko.
 
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.

Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya kauli zinazosikika Zanzibar zikimzindua Bibi SSH
.

Makusanyiko ya mikutano ya Zanzibar ambayo kashikashi zimeanza ni balaa mikutano rasmi haijaanza wananchi wameanza kuitikia wito katika JIHADI hii ya kuinusuru nchi yao.
Ikitokea siku nyinyi kupe mkajitenga na nchi yetu ya Tanganyika, haki ya nani nitafanya sherehe.
 
Pambaneni halafu mje mchukue Tanga iwe sehemu ya zenji , tutafika mbali sana huku bara tunatengwa ..Tanga kuna eneo kubwa sana mpaka usambara huko.
Kwa namna yoyote ile Tanga haiwezi kuungana na watu wavivu, kupe, na wabinafsi kama Wazanzibari. Labda nyinyi watu wa Tanga mjini mnaendana na hao ndugu zenu! Ila siyo sisi Wasamba.
 
Endelea kujidanganya ,maana ni watu wavivuu mpaka wanakutegemea wewe ...Punguza ujinga pambana na Bumbuli yako ..Mimi ni msambaa ila nawependa wanzeji kuliko race yoyote ile ya Tz.

sisi na zenji ni race moja nyie nendeni mnapotaka ,hii ni asili yetu tutailinda.
 
Tuombeeni tu ,unakuta wanarudisha Ufalme Samia anakuwa Malkia kwa kufanikisha jambo lao.
Ila kusema kweli nina uhakika wa asilimia 99 watatoboa tu ,kama hotuba ya jana 29/04/2025 kule Mtambwe ni balaa ,watu wanazungumza kwa uhakika wa kujigomboa huku wakiimba nyimbo za Mapinduzi Matukufu yaliyopinduiwa na TANU 1972.
 
Siku nzima unashinda madrasa unafikiri akili itawaza nini sasa?😂😂
Nyinyi msioshinda madrasa mna kipi cha maana? Baadae uanze kulalamika Waislam wana udini ila kejeli kwa Waislam umeanza mwenyewe.
 
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.

Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya kauli zinazosikika Zanzibar zikimzindua Bibi SSH
.

Makusanyiko ya mikutano ya Zanzibar ambayo kashikashi zimeanza ni balaa mikutano rasmi haijaanza wananchi wameanza kuitikia wito katika JIHADI hii ya kuinusuru nchi yao.

Ndugu zetu Wazanzibari (hasa Waislam) tulieni, amani ni kitu muhimu mno. Msipelekeshwe na wanasiasa mkazimwaga damu zenu bure. Damu ya Muislam ina thamani kuliko hata Al Kaaba
 
Kama Nchi ni moja, lakini upande wa Zanzibar wanauziwa Petroli shingili 2,400 wakati huo huo ukija hapa DSM tunauziwa Petroli hiyo hiyo Kwa shilingi 3030 Kwa bei ya leo

Ukija kwenye bei ya Sukari ni shilingi 2,100 wakati ukija hapa DSM ni shilingi 3,000 Kwa kilo moja

Ukija kwenye kuagiza magari
Zanzibari unaweza kuagiza gari hadi kuisajili Toyota IST ya Mwaka 2009 Kwa shilingi 13,500,000

Wakati ukivuka bahari ukaja hapa DSM utaagiza na kuisajili Kwa shilingi 16,700,000

Ukija kwenye kumiliki Kiwanja
Mzanzibari anaruhusiwa kununua na kumiliki Kiwanja Zanzibar na Tanzania Bara

Wakati huku Mtanzania Bara hana ruhusa ya kununua Kiwanja na kukimiliki Zanzibar 🙌

Mnataka tuseme nini tena kuhusu huo Muungano tunaoulinda Kwa Mtutu wa bunduki
 
Kama Znz wakitulia vizuri na wakaacha siasa za ugomvi miaka 10 ijayo. Serikali inaweza kusomesha watoto wao kutoka Nursery/Vidudu mpaka University bure kama Namibia, hii ikiwa ni pamoja na kulipa wasiokuwa na kazi fao la kutokuwa na ajira. Hii ni kama watasimamia rasilimali zao vizuri, kubana mianya ya wizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima na kuongeza uwekazaji hasa PPP. Tanganyika itakuwa bado sana maana huku tuko wengi sana na makandokando ni mengi.
Naunga mkono hoja, tena kwa mapato yanayotoka Tanganyika tu.
 
Endelea kujidanganya ,maana ni watu wavivuu mpaka wanakutegemea wewe ...Punguza ujinga pambana na Bumbuli yako ..Mimi ni msambaa ila nawependa wanzeji kuliko race yoyote ile ya Tz.

sisi na zenji ni race moja nyie nendeni mnapotaka ,hii ni asili yetu tutailinda.
Wewe utakuwa ni Mdigo bila shaka. Na ndiyo maana unaelewana na hao majirani zako wavivu na wapenda vya bure.
 
Back
Top Bottom