Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,962
- 119,413
Na mkishajitenga tu, basi muondoke mapema sana Tanganyika. Vyeo vyote vya kisiasa na kiutawala mnavyo vishikiria kupitia huu muungano wa changu changu, chako changu mtatakiwa kuwaachia Watanganyika wenye nchi yao.Tuombeeni tu ,unakuta wanarudisha Ufalme Samia anakuwa Malkia kwa kufanikisha jambo lao.
Ila kusema kweli nina uhakika wa asilimia 99 watatoboa tu ,kama hotuba ya jana 29/04/2025 kule Mtambwe ni balaa ,watu wanazungumza kwa uhakika wa kujigomboa huku wakiimba nyimbo za Mapinduzi Matukufu yaliyopinduiwa na TANU 1972.