Bye Bye Chit-Chat..Bye bye JF

jioni nitafute shemu nikupe zawadi yako kweli wewe unafaa kuwa mlinzi wangu zidi ya dada yako maana mh!! sijui utoto au mie ndo mshamba hata sielewi eti!!:target::target:

Swadakta my shem .... yan hapo ndo ninapokupendea!!!
 
nafurahi kusikia ivyo! mie pia mzima. ni kweli ila cha kwanza mkane Tonykp ndio na mie nitafunguka rasmi bila ivyo mmh!

nimeamka salama...najua kuna watu hawapendi kuniona mimi na wewe hata tukisalimiana ila naona kama wamebugi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…