Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,101
- 23,659
Hizi chuma za mwendo wa ngiri huwa zinafanyiwa majaribio katika viwanja maarufu viitwavyo Automative Papenburg (ATP) nchini Ujerumani.
Hapo ndipo mjadala wa chuma ipi yenye kasi zaidi duniani humalizwa. Vyuma hupigishwa lap ya maana kupima km/hr au mph na acceleration ya engine in time.
Katika majaribio ya karibuni yaliyofanyika viwanja vya ATP, Mchina BYD Yangwang U9 Extreme (U9X) ameandika upya vitabu vya rekodi chuma imekwenda 496.22 km/h. Yaani kwa maneno rahisi U9X inakwenda Dar to Iringa kwa saa 1 tu!
Ina accelerate from 0 to 100 km/h (62 mph) ndani ya sekunde 2.36
Mara ya mwisho Mfaransa na chuma yake ya Bugatti Ciron aliweka rekodi ya dunia, mkebe ulichomoka 490km/hr
Baadhi ya unyama wa BYD Yangwang U9X:

- 3000 hp
- 80 kWh LFP battery
- 1,200v platform
- Up to 500 kW charging speed
- 4 motors that each deliver 555 kW (around 750 horsepower), for a combined output of over 3,000 hp.
- Each of its four motors spin at a max of 30,000 RPM and is made of super thin 0.1mm silicon steel, a first in mass production
U9X is the most powerful Supercar ever at 3000 hp.
Kwa sasa gari lenye kasi zadi duniani ni la umeme BYD U9X. Tesla roadster has a high bar to beat now, China are cooking!