Bwana Mh Rais mwachie Lissu, tunachoshana.

Bwana Mh Rais mwachie Lissu, tunachoshana.

Samia mwachie Lissu bwana tunachoshana aise
IMG_20250822_142857_340.jpg
 
..anavyozidi kuwekwa ndani ndivyo anavyozidi kuungwa mkono.

..mara baada ya kukamatwa Tundu Lissu alikuwa anatetewa na wanachadema peke yake.

..sasa hivi Tundu Lissu anatetewa mpaka na baadhi ya wanaCcm, viongozi wa dini, watu ambao mwanzoni walikuwa hawamuungi mkono.

..sijawahi kuona mhaini akitetewa na wananchi waziwazi kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
Viongozi wote wadini wanamtetea na 73% ya wanaCCM.
 
Mwache ashike adanu, mwenyewe kakori kosa hadi leo kawazuia CHADEMA kupiga kura ili eaepuke kulipuliwa siku ya Uchaguzi. Wangesema wako milioni 9 wataingia barabarani kuzuia Uchaguzi unataka nini tena? Lililobaki ni kwa Afande Muliro nadhani kajiandaa badala ya kusubiri hadi aanze fujo unamueeka pembeni. Siku ile CHADEMA walipanga kuandamana hivo hivo skajitokesa Mbowe na Binti yake kina Heche walikuwa Nairobi na Lissu alikuwa kwao Ubelgiji. Akili ya kuambiwa? Na wewe tia yako.
🚮🚮🚮🚮
 
Samia mwachie Lissu bwana tunachoshana aise

Akimwachia Lissu njia nyeupe ikulu. Yeye urais anautaka. Wahuni Lissu wanamuogopa. Unadhani ataachiwa Lissu kabla ya unaoitwa uchaguzi? Kuwa hilo litokee kwa ridhaa yao?
 
Ukweli ni kuwa kuwekwa mahabusu kwa Tundu Lissu kumewawezesha waTanzania wengi kumfahamu vizuri Lissu na kutambua uwezo wake mkubwa kiakili.
Sasa hivi hata Samia mwenyewe anamfahamu vizuri zaidi na kuwa na hofu kubwa juu ya kupambana naye kwenye kura za waTanzania.

Tundu Lissu sasa hivi yupo kwenye ngazi tofauti kabisa katika mwelekeo wa uongozi hapa nchini.
Lissu hagombei sasa ya nini kumuweka ndani na.bado ni mlemavu wa kupigwa risasi na wasiojulikana, mwachieni kuepuka hasira za Mwenyezi Mungu.
 
Kaombeni ushauri kule Syria, RPF rwanda, M23, au kwa HAMAS, haki haiombwi jamani.
 
Back
Top Bottom