Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

Hata ndoa za kimila? Nadhani mila yao inatambua aina hii ya ndoa....wamasai pia wana aina hizi za ndoa.....kijana anaoa wakati hajabalehe....kwao ni ndoa halali tu.

Wondering kama huyu dogo anaelewa maana ya hili tukio...😡
 
yes baby..! am here just for u my sweetheartito...can i do anything for hanii???
darling.....i had a sleepless night ......just thinking of u....thinking of ur angelic beauty....i thank God for u....
 
Hata ndoa za kimila? Nadhani mila yao inatambua aina hii ya ndoa....wamasai pia wana aina hizi za ndoa.....kijana anaoa wakati hajabalehe....kwao ni ndoa halali tu.

Wondering kama huyu dogo anaelewa maana ya hili tukio...😡

Sheria ya kimila inabidi isikinzane na sheria ya bunge or katiba. Sasa kama sheria ishataja umri wa kuoa ni miaka 18 bado kunakuwa na ubatili hapo.
 
Reactions: RR
baba na mama wa bwana harusi sijui wako wapi. Mie risasi zingehusika tu.

Hata ndoa za kimila? Nadhani mila yao inatambua aina hii ya ndoa....wamasai pia wana aina hizi za ndoa.....kijana anaoa wakati hajabalehe....kwao ni ndoa halali tu.

Wondering kama huyu dogo anaelewa maana ya hili tukio...😡
 
darling.....i had a sleepless night ......just thinking of u....thinking of ur angelic beauty....i thank God for u....

thanks hany for realizing that... and thats why i lov uuuu i lov uu i lov uu i lov uuu...(mpaka mwisho)
 
Wazazi wa huyo mtoto sijui wako hai; na kama wako hai nataka kujua kama wana akili timamu!!! Vilevile huyu bibi arusi nataka kujua kama ana akili timamu!!!
 
Wanaharakati/ Vyama vya haki za watoto mbn hawazungumzii hili.

Kuna ukiukwaji wa haki za mtoto kweny suala hili.
 
Unatumia tafsiri ipi ya ndoa? Usidhani tafsiri ya ndoa ni moja kwa dunia nzima!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…