Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

Huyo ni shetan mzima mzima kaja kwa njia ya ndoto.

Haiwezekan Mke tayar wa jamaa afunge ndoa tena na mtoto wa miaka tisa hata uji wa karanga hautok
Mungu ni wa utaratib sio wa machafuko.

Hapa ndo napata pcha ya maandko ya Yohana alipoonyeshwa yatakayotukuta mbele alisema aliwaona wakubwa kwa wadogo wamesimama ktk kti kile kwamba watakuepo wadogo nao wakichemka moton sa ndo hvo wanaptkana kwa njia hii...
God help
 
Na hao wazazi wa huyo mtoto zitakuwa hazimo... Yaani wakaridhia kabisa mtoto wao akaoe huyo mwanamke??
 
So, wana gegedana kama kawa au?? Mmmh..knafit kwel kunako kwa bb jaman??
 
nawaza siku dogo akijua he is a rightful huzzie!
enhenhenhenhe
 
nawaza siku dogo akijua he is a rightful huzzie!
enhenhenhenhe

exactly...huyu dogo akisha balehe hakuna kitachho mzuia asiombe mzigo
atajiaminisha ni mali yake
hata kama ni harusi tu ya kimila...
 
hem nilale nioteshwe kuolewa na mtu!
ooooooole wake akatae matakwa ya mizimu na mababu!
 
exactly...huyu dogo akisha balehe hakuna kitachho mzuia asiombe mzigo
atajiaminisha ni mali yake
hata kama ni harusi tu ya kimila...
ndo hapo huyo mume mwenza atajua ilikuwa ndoto au mila na desturi!
dogo atakomaaaje!
 
wataoteshwa wengi naona hii trend ikiingia lol

enhenhe we huwajui wazee wa "bwana kasema nami kwenye maono kuwa wewe ni mke wangu"
kuna watu kutongoza ni dhambi oh!
so ipo sana na ndoa kibao zimefungwa kwa style hiyo!
 
ndo hapo huyo mume mwenza atajua ilikuwa ndoto au mila na desturi!
dogo atakomaaaje!

na kimila za kiafrica mwanaume ni mfalme
so dogo atakuwa na sauti kwa huyu mama
lazima mama amtii....
 
hawa sex...huyo mama ana watoto na ana mume
but anadai kaoteshwa afunge ndoa na huyo mtoto
so ni ndoa tu ya harusi but no sex...
Ndoa timilifu pia huusisha kufanya tendo lake-la ndoa (wa-consumate marriage) vinginevyo hiyo ni batili.

Batili kwa umri wa mtoto, hajui maana ya kiapo na wala hajui majukumu yake kwenye ndoa.

Batili kwa kiapo kisicho na ihari kwani ina msukumo wa upande mmoja.

Batili kwani huyo mwanamke alipaswa kuvunja(divorce) ndoa yake ya kwanza ili afunge hii nyingine.

Labda itafutiwe jina jingine,lakini si ndoa kama ndoa nyingine za watu waliotimiza umri wa kufunga ndoa.
 
enhanced-12414-1405760187-11.jpg

mkono wa bi harusi umekoomaaje???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom