Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

Bwana harusi mdogo kuliko wote duniani....

Mtoto anabemendwa hapa

nahisi wata sex akisha balehe ingawa wanasema no sex...
hawawezi sema yote...kwa ufupi huyu dogo atapewa mzigo anasubiriwa akue tu
 
Mila za ajabu kabisa!
Ukioteshwa uoe/uolewe na mume/mke wa mtu wataruhusu ili mizimu isikasirike?
 
enhanced-12414-1405760187-11.jpg
Cheki mikono ya huyo mama ilivyokomaa! Haiendani kabisa na mikono yenye ngozi laini ya huyo dogo! Imeniuma kweli kwani naona huyo dogo anadhurumiwa kabisa ujana wake na hilo jimama!
 
Cheki mikono ya huyo mama ilivyokomaa! Haiendani kabisa na mikono yenye ngozi laini ya huyo dogo! Imeniuma kweli kwani naona huyo dogo anadhurumiwa kabisa ujana wake na hilo jimama!
Hata mimi imeniuma saana..! Nikiangalia ile picha ya huyo mama akimbusu huyo mtoto yaani nahuzunika saaana..!
 
Hata mimi imeniuma saana..! Nikiangalia ile picha ya huyo mama akimbusu huyo mtoto yaani nahuzunika saaana..!
Basi bwana, wanajua wao na mila zao! Ila kiukweli ni huyo mtoto anadhurumiwa kabisa! Kwanza ni ubakaji huo!?
 
Mtoto ndio kaoteshwa amuowe huyo mama - na mama na mumewe hawakukataa ili kuwafuahisha wahenga !
 
Sasa sijui huyo mtoto kama anaenda kucheza na wenzake, na kakikomaa na michezo sijui kanapigwa na mkewe mweee hata sielewi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom