mnhhh we ushaanza kutokwa na udenda na dogo lol
Ndoa timilifu pia huusisha kufanya tendo lake-la ndoa (wa-consumate marriage) vinginevyo hiyo ni batili.
Batili kwa umri wa mtoto, hajui maana ya kiapo na wala hajui majukumu yake kwenye ndoa.
Batili kwa kiapo kisicho na ihari kwani ina msukumo wa upande mmoja.
Batili kwani huyo mwanamke alipaswa kuvunja(divorce) ndoa yake ya kwanza ili afunge hii nyingine.
Labda itafutiwe jina jingine,lakini si ndoa kama ndoa nyingine za watu waliotimiza umri wa kufunga ndoa.
darling.....i had a sleepless night ......just thinking of u....thinking of ur angelic beauty....i thank God for u....yes baby..! am here just for u my sweetheartito...can i do anything for hanii???
kwanza kidudu cha dogo hakitafit lazima kielee elee..
Hata ndoa za kimila? Nadhani mila yao inatambua aina hii ya ndoa....wamasai pia wana aina hizi za ndoa.....kijana anaoa wakati hajabalehe....kwao ni ndoa halali tu.
Wondering kama huyu dogo anaelewa maana ya hili tukio...😡
hahahahaaa..... dogo atakua na la hatareeeeeeeee!
Hata ndoa za kimila? Nadhani mila yao inatambua aina hii ya ndoa....wamasai pia wana aina hizi za ndoa.....kijana anaoa wakati hajabalehe....kwao ni ndoa halali tu.
Wondering kama huyu dogo anaelewa maana ya hili tukio...😡
darling.....i had a sleepless night ......just thinking of u....thinking of ur angelic beauty....i thank God for u....
Hahahahaa.... Miss u mkuu! Kimya sana..
is that a bible? ama kweli mwanamke ataacha wazazi wake aungane na mumewe!Hapa the kiss ....bwana harusi akipata busu la bibi harusi..lol
![]()
Kwa hiyo wameblend ukristo na dini za jadi ama inakuwaje? Maana jamaa anayewafungisha kashika biblia.usiseme ushirikina..sema dini za jadi...lol
Unatumia tafsiri ipi ya ndoa? Usidhani tafsiri ya ndoa ni moja kwa dunia nzima!!Ndoa timilifu pia huusisha kufanya tendo lake-la ndoa (wa-consumate marriage) vinginevyo hiyo ni batili.