Vibaya sana......Kwa hiyo flat tunapendeza tukivua
Ni kweli kabisa,,umenena vyemaaMwanamke mpangilio bidada.Na kujua kwenda na kipi wapi.
Ukivaa Harajuku socks Kariakoo utaonekana kituko, lakiniukipiga hizohizo Roppongi unaonekana unajua mambo.
Kuna ma models wa South Sudan weusi tii,flat screen mpakakwenye mabega, na wamekubalika kimataifa.
Alek Wek angemind ubaya(demu ana sura ka mtoto wa Idi Ami) na u flat screen wanaompenda wangekosa mambo.
Unajua watu wengi wanaoa flatscreen ila wanawake wakishaolewa wanafutuka.Yaan leo ntaenda kujiangalia
Wewe na huyo Al Watan wako mna lenu jambo nyieNi kweli kabisa,,umenena vyemaa
Hata bilget mkewe hana wowowo bana
huyo dada namjua anauza popocorn bar flani pale goba babe nenda kamcheki
Hapana jamani niko na wewe flat screen hadi kifo kitutenganishe.Unanifariji Daudi,,we sawa tu naanza kukugaya taratibi taratibu ubaki na ma wowowo yako
Sizungumzii aliepigwa pasi. Nazungumzia portable.Tofautisha flat na wembamba ,,**** flat pia ni wanene
Mwanamke lazima awe kams mwanamke hata kama mwembamba sio awe kama mimi.We unapenda kama nandy,,nady akinenepa ana kiwowo ,,nasemea yule ambae hana ni flat