Kwa hiyo nawe unapenda wowowo au flat?Hapo ndio wengi wanakwama, ndoa ni zaid ya mwanamke mrembo na mwenye kuvutia tuu, ndoa inaenda zaidi ya hapo, hapa duniani kuna wanawake wapo kwa ajili ya kuoa na wapo kwa ajili ya kutooombwaa tuu.
Mwanaume tunahitaji mwanamke mwenye heshima, kujali na kuthamini(viashiria vya upendo) halafu uzuri, na wowowo vinafata..
Kutamani tumeumbiwa hivyo, tamaa zetu hazikatiki, ndio maana unaweza ukamsalandia mwanamke wee ukimpata unaona wa kawaida tu na unatamani mwingine,
trust me bwana harusi anaweza akafunga ndoa na huyo bibie pichani lakin still akaona mwingine zaid..
Wacha atakuja kumtooombaa kama mchepuko, kama hatoridhika na cha ndani(japo siungi mkono uchrpukaji)
huyo dada namjua anauza popocorn bar flani pale goba babe nenda kamchekiHmmm na wewe unataka kwenda kukausha ATM za Buzuruga Plaza na Dina nini?
Maana kila alipo nawe upo 😀😀
Jamani muwache Al-Watan
Kweli binadamu tuko tofauti. Mimi hio mizigo sina mzuka nayo kabisa.View attachment 650246 ukute kaoa flat screen kama mim ka moyo lazima kaume
Tumia Tafsida mkuu hata kwa kujilazimisha kidogoHapo ndio wengi wanakwama, ndoa ni zaid ya mwanamke mrembo na mwenye kuvutia tuu, ndoa inaenda zaidi ya hapo, hapa duniani kuna wanawake wapo kwa ajili ya kuoa na wapo kwa ajili ya kutooombwaa tuu.
Mwanaume tunahitaji mwanamke mwenye heshima, kujali na kuthamini(viashiria vya upendo) halafu uzuri, na wowowo vinafata..
Kutamani tumeumbiwa hivyo, tamaa zetu hazikatiki, ndio maana unaweza ukamsalandia mwanamke wee ukimpata unaona wa kawaida tu na unatamani mwingine,
trust me bwana harusi anaweza akafunga ndoa na huyo bibie pichani lakin still akaona mwingine zaid..
Wacha atakuja kumtooombaa kama mchepuko, kama hatoridhika na cha ndani(japo siungi mkono uchrpukaji)
huyo dada namjua anauza popocorn bar flani pale goba babe nenda kamcheki
Tumia Tafsida mkuu hata kwa kujilazimisha kidogoHapo ndio wengi wanakwama, ndoa ni zaid ya mwanamke mrembo na mwenye kuvutia tuu, ndoa inaenda zaidi ya hapo, hapa duniani kuna wanawake wapo kwa ajili ya kuoa na wapo kwa ajili ya kutooombwaa tuu.
Mwanaume tunahitaji mwanamke mwenye heshima, kujali na kuthamini(viashiria vya upendo) halafu uzuri, na wowowo vinafata..
Kutamani tumeumbiwa hivyo, tamaa zetu hazikatiki, ndio maana unaweza ukamsalandia mwanamke wee ukimpata unaona wa kawaida tu na unatamani mwingine,
trust me bwana harusi anaweza akafunga ndoa na huyo bibie pichani lakin still akaona mwingine zaid..
Wacha atakuja kumtooombaa kama mchepuko, kama hatoridhika na cha ndani(japo siungi mkono uchrpukaji)
Kwa kulumagia au!?Kwa hiyo nawe unapenda wowowo au flat?
Jamani wowowo ni la kupiga nalo tu picha, ila wewe flat screen ndiyo wife material usihofuHadi we Daudi unanisaliti
Kweli binadamu tuko tofauti. Mimi hio mizigo sina mzuka nayo kabisa.
We ni kachokozi sana