Bwana harusi lazima ujisikie vibaya

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,651
68,601
IMG-20171213-WA0003.jpg
ukute kaoa flat screen kama mim ka moyo lazima kaume
 
Hapo ndio wengi wanakwama, ndoa ni zaid ya mwanamke mrembo na mwenye kuvutia tuu, ndoa inaenda zaidi ya hapo, hapa duniani kuna wanawake wapo kwa ajili ya kuoa na wapo kwa ajili ya kutooombwaa tuu.
Mwanaume tunahitaji mwanamke mwenye heshima, kujali na kuthamini(viashiria vya upendo) halafu uzuri, na wowowo vinafata..

Kutamani tumeumbiwa hivyo, tamaa zetu hazikatiki, ndio maana unaweza ukamsalandia mwanamke wee ukimpata unaona wa kawaida tu na unatamani mwingine,
trust me bwana harusi anaweza akafunga ndoa na huyo bibie pichani lakin still akaona mwingine zaid..

Wacha atakuja kumtooombaa kama mchepuko, kama hatoridhika na cha ndani(japo siungi mkono uchrpukaji)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom