Bwana harusi lazima ujisikie vibaya

Bwana harusi lazima ujisikie vibaya

Kwa hiyo nawe unapenda wowowo au flat?
Kwa kuoa sichagui sibagui, maana maskini roho ya kupenda sina, mie naonesha upendo ninaopewa, so mwanamke ili mradi aoneshe upendo tu, anijali,aniheshimu na kunithamini... Ya msondo namuachia gurumo bibie..

Ila kama unazungumzia wa kurukia viduku huwa sina machaguo mengi saana, mie kikubwa awe mzuri tu, akiwa mweupe inapendeza zaidi. So awe flat awe kama wa zaid mie naruka tuu, ujue vingine hivi ni fahari ya macho tu, mwanamke akivua nguo kitako lazima kionekane mkuu. Mir naruka tu mchagua giggy money sio mto mba ji huyo.
 
Sema ukweli mnajifanya fanya tu hapa
Mie sina chaguo halisi, mie najua kuruka tu awe kimbaumbau, bonge, tukunyema mie naweka tu bibie.. na umri huu mpaka kufikia hapa nimeweka magoma kibao idadi yake kwa kukurupushwa usingizini ngumu kuitaja.. na ni tofauti tofauti
 
Kwa kuoa sichagui sibagui, maana maskini roho ya kupenda sina, mie naonesha upendo ninaopewa, so mwanamke ili mradi aoneshe upendo tu, anijali,aniheshimu na kunithamini... Ya msondo namuachia gurumo bibie..

Ila kama unazungumzia wa kurukia viduku huwa sina machaguo mengi saana, mie kikubwa awe mzuri tu, akiwa mweupe inapendeza zaidi. So awe flat awe kama wa zaid mie naruka tuu, ujue vingine hivi ni fahari ya macho tu, mwanamke akivua nguo kitako lazima kionekane mkuu. Mir naruka tu mchagua giggy money sio mto mba ji huyo.
Makavel hueleweki we sema tu nawe unalitaka wowowoo
Unaruka ruka mweee
 
Makavel hueleweki we sema tu nawe unalitaka wowowoo
Unaruka ruka mweee
Dinazarde mie sieleweki kweli, enzi za kuruka kwangu nilikuwa naruka bila kujali.. sinaga machaguo awe kimbau mbau awe na wowowo mie naweka tu, al muhimu inapenya, wowowo ni fahari ya macho tu bibie.
 
Sasa nyie ndio wa kuoa, usiwe flat sscreen ila usiwe mtu wa kuvuta attention kiasi hicho. Hawa wa kuvuta attention ya wanaume sio wa kuoa, ni kwa ajili ya kuchepuka tu. Kuoa hao ni kujitakia stress mtaani.
Muoe kitu roho inapenda ili musichepuke
 
Tunapondwa sana sisi
Mwanamke mpangilio bidada.Na kujua kwenda na kipi wapi.

Ukivaa Harajuku socks Kariakoo utaonekana kituko, lakini ukipiga hizohizo Roppongi unaonekana unajua mambo.

Kuna ma models wa South Sudan weusi tii,flat screen mpaka kwenye mabega, na wamekubalika kimataifa.

Alek Wek angemind ubaya(demu ana sura ka mtoto wa Idi Ami) na u flat screen wanaompenda wangekosa mambo.
 
Dinazarde mie sieleweki kweli, enzi za kuruka kwangu nilikuwa naruka bila kujali.. sinaga machaguo awe kimbau mbau awe na wowowo mie naweka tu, al muhimu inapenya, wowowo ni fahari ya macho tu bibie.
Sawa nimekuelewa
 
Back
Top Bottom