usiku si ndo atakoromaaa kabsaaa na kusahau jukumu lake?
usiku si ndo atakoromaaa kabsaaa na kusahau jukumu lake?
Nyie hapo juu Honey Faith, MO11 na kabanga aise siku ya kwanza ukilewa hivyo hata mpambe wako atakuwa ndo bwana harusi na wewe bwana harusi utakuw ampambe
Siku ya harusi nilikunywa maji tuu ili kuweka mwili sawa kwa kazi iliyo mbele
Huyo labda utafiti aise
Ni wewe hapo utafiti hatumii kilevyi chochote kilee!!!
Mi pia situmii kilevi aise hapo unanionea bana
Hapo ndipo bestman anapochangamkia kazi. Na usiombe hapo matron na bestman wakawa sio wanandoa!usiku si ndo atakoromaaa kabsaaa na kusahau jukumu lake?