TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
Bwana harusi Chrispin Saadani (34) aliyekuwa akisherekea kufunga ndoa na mchumba ake usiku mwa tar.24 Disemba alijikuta anazuiwa kufunga ndoa na mchumba ake baada ya wanawake wawili alio zaa nao kuibuka gafla kanisa katoliki Jimbo la Sumbawanga huku haamini kilicho tokea.