Bwana harusi aonesha video ya mke wake ukumbini akifanya mapenzi na shemeji yake chumbani kwake

sasa uachwe tu uanze kujiliza ameniacha bila sababu.

lazima tumwage mchele,kama hapo kakimbia mwenyewe,halafu baharia alivyo muuaji anakwambia mimi sijamfukuza nisilaumiwe

ila kuna viumbe wana roho ngumu sana aisee,yaani anaacha train linakorea speed tu(harusi),kumbe ana ratiba ya kuruka.
Angemwambia sababu sasa mambo ya kumuanika mwenzie mbele ya watu ndio nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamaana aliekuwa akimchakata ni mume wa dada wa bi harusi?? Mbona bi arusi atapigwa mawe adi kufa na wachina walivyo na sheria zao
 
Kwamaana aliekuwa akimchakata ni mume wa dada wa bi harusi?? Mbona bi arusi atapigwa mawe adi kufa na wachina walivyo na sheria zao
anaweza akajiua maana hata familia inaweza mtenga na jamii kiujumla amedhalilika sana.
 
Habari zenu wana JF? Niende moja kwamoja.

Bwana harusi mmoja nchini China akiwa ukumbini aliamua kuonesha video ambayo inamuonesha mke wake akifanya mapenzi na mume wa dada yake chumbani.

Bwana harusi huyo alikuwa akifuatilia mwenendo wa mpenzi wake kwa muda mrefu, alihisi kuwa anatoka kimapenzi na mume wa dada yake, dada ambaye ni mjamzito kwa sasa. Siku moja aliamua kutega kamera chumbani kwake na ilifanikiwa kuwarecordi wawili hao wakifanya mapenzi kwenye kitanda chake.

Jamaa hakumuonesha mpenzi wake hadi siku ya harusi ambapo wakiwa ukumbini baada ya utambulisho aliiweka kwenye televisheni kubwa ukumbini hapo. Bibi harusi baada ya kuiona alivua shela na kukimbia. Hata hivyo amekanusha kuwa sio yeye kwenye hiyo video.View attachment 1315309
View attachment 1315310
Hizi thread mnazoweka humu zinazidi kuwafanya vijana wakate tamaa ya kuoa,na kwa upande wa wadada ndoa ndio zinazidi kuota mbawa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom